Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

Kina nani wana ujinga ujinga?????binadamu bwana hivi hàmjui hata mtu akifa inabidi kusheherekea kama sherehe nyingine za kuzaliwa na kuoa au kuolewa.

Unaposema ujinga ujinga unamanisha nini?????
Mazishi kwenye Uislamu ni ibada hivyo hufuata taratibu za kidini, hizo mbwembwe za sherehe unaanzaje?
 
Ktk uislam hakuna nyimbo ktk msiba. Unamuimbia ili iwe nini? Ipo ktk katiba? Yeye wakati wa uhai wake akiimba kwaya au akisoma Quran?
Mambo ya manasara na mayahudi waislam wamekatazwa kuyafata
Mbona una mswalia mtu mfu?
 
Kina nani wana ujinga ujinga?????binadamu bwana hivi hàmjui hata mtu akifa inabidi kusheherekea kama sherehe nyingine za kuzaliwa na kuoa au kuolewa.

Unaposema ujinga ujinga unamanisha nini?????
Unasheherekea nn??inamsaidia nn marehemu na huko aendako
 
Back
Top Bottom