Peter Msigwa asema hali ni mbaya katika Hifadhi ya Ngorongoro na jitihada za haraka kuinusuru zinahitajika

yaani hiyo hesabu ...ndio unakuja kutamba na D YA HESABU HAPA!
 
yaani hiyo hesabu ...ndio unakuja kutamba na D YA HESABU HAPA!
Hauwezi nielewa ndio maana hauwezi fanya mathematical projection, nilisema angalau uwe na D and it seems hata hiyo hukupata otherwise ungenielewa...am sorry!!
 
Y6
Hauwezi nielewa ndio maana hauwezi fanya mathematical projection, nilisema angalau uwe na D and it seems hata hiyo hukupata otherwise ungenielewa...am sorry!!
Ndicho nacho shangaa ...yaani kufanya projection ya aina hio ndio unatusi watu hapa!
 
Kwahiyo Msigwa akisema ndio inakuwaje kwani??
 
CCM bhana... Yani hao wamasai wanawashinda hapo!!!??
 
Nimesema mara nyingi humu narudia tena kunusuru Ngorongoro binadamu wote wanatakiwa wawe nje ya crater sio wamasai tu la hasha mifugo yao, wafanyakazi wa NCAA, wafanyakazi wa mahoteli na lodges, na watalii wote hawa wakae nje ya crater. Hoteli na lodges zijengwe karatu na Oldeani watalii wakae huko ila asubuhi waingie crater na kutalii, jioni warudi kulala hotelini karatu. Kadhalika wafanyakazi wa NCAA, wamasai na mifugo yao wote wahamishwe. Hapo hakuna siasa wala kura za 2025 nimemsikia waziri mkuu anababaika tu. Nimeshuhudia mwenyewe with naked eyes machinga wa kimasai wanauza asali na shanga, mifugo mingi tu ikizurura na nyumba za makazi kibao. Nawaomba jamani chonde chonde tuwatoe binadamu na mifugo ndani ya crater.
 
Halafu huko ndani ya NCA wabaki nyumbu tu? Hivi nyumbu wa Ngorongoro wanawasaidia nini? Wana umuhimu kiasi gani kuliko watanzania wenye nchi?
Ina maana nyumbu wa Tarangire na Serengeti plus Lake Manyara na Mikumi hawatutoshi?
 
Hizi akili za tukose wote ni za kimaskini.
 
Bila hao wamasai wanyama wataisha ndani ya mwaka tu...wamasai ni kama kiwingu kwa wezi wa maliasili...Takukuru iingilie kati na kuchunguza iwapo kuna rupia imepenyezwa katika hii kampeni...si bure
 
Halafu huko ndani ya NCA wabaki nyumbu tu? Hivi nyumbu wa Ngorongoro wanawasaidia nini? Wana umuhimu kiasi gani kuliko watanzania wenye nchi?
Ina maana nyumbu wa Tarangire na Serengeti plus Lake Manyara na Mikumi hawatutoshi?
Ww acha hoja zako hafifu za ki ufipa nyumbu wana hakinya kuishi NCA au unataka wakaishi wapi? Na usifananishe NCA na tarangire
 
Bila hao wamasai wanyama wataisha ndani ya mwaka tu...wamasai ni kama kiwingu kwa wezi wa maliasili...Takukuru iingilie kati na kuchunguza iwapo kuna rupia imepenyezwa katika hii kampeni...si bure
Kinachotakiwa kufanywa ni kuweka sheria za kubalance population ya watu na mifugo eneo la hifazi
 
Chato si ilikuwa iwe kitovu cha utalii hawa Wamasai wawapeleke huko kwani kuna tatizo gani?
 
Ww acha hoja zako hafifu za ki ufipa nyumbu wana hakinya kuishi NCA au unataka wakaishi wapi? Na usifananishe NCA na tarangire
Sina haja ya kukujibu akili ndogo kama zako. Utakuwa hao watumishi wa NCAA wanaojaribu kujifanya wazalendo kwa wanyamapori kumbe wanatetea matumbo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…