Peter Msigwa asema hali ni mbaya katika Hifadhi ya Ngorongoro na jitihada za haraka kuinusuru zinahitajika

Peter Msigwa asema hali ni mbaya katika Hifadhi ya Ngorongoro na jitihada za haraka kuinusuru zinahitajika

Do you expect me to refute the government statement?
So you base your bet on government lies as you spend countless hours spinning and disparaging the poor fellows fearing for their dear lives?
 
Naunga mkono hoja ya Watu kuhamishwa Ngorongoro ili Kunusuru huo mbuga mana Growth yake kwa sasa iko juu kuanzia wao mpaka mifugo in 20 years to come tunaweza kupoteza hio hifadhi ivo wajibu ni wetu kuilinda, ila sitegemei hao Wananchi watolewe then wapewe waarabu hilo eneo
Hutegemei? kwako hilo ndio jibu linalotosha kwa wananchi kuburuzwa ndani ya nchi yao?

Wakipewa waarabu utasemaje? Hukutegemea watapewa waarabu!
 
Back
Top Bottom