Peter Msigwa asema hali ni mbaya katika Hifadhi ya Ngorongoro na jitihada za haraka kuinusuru zinahitajika

Hizi akili za tukose wote ni za kimaskini.
Hizo akili za kutaka mpate wote ndio za kimaskini..
Wamasai wakipata nyie mkakosa kuna shida gani?
Acheni kujifanya wajamaa wakati hamna ujamaa wowote mhimu ni serikali ya majimbo
utoe huu ujinga..
Ile gesi mlioichukuakwa nguvu mtwara imewasaidia nini?
Ngorogoro itawasaidia nini?
 
Ngorongoro inausaidia utalii, lengo ni kuwa sisi tukiwa makaburini uzuri wa hifadhi ya dunia uendelee kuwepo. Mnaleta siasa za ukanda na ukabila ambao hauwasaidii kwa namna yoyote ile.

Hao wa kusini walipoiringia gesi yao, kipi cha maana walichoifanyia?. Kosa sio kufanya kosa ni kurudia kosa, naamini serikali imejifunza.
 
Ni msigwa hyu hyu ama mwingine?? Btn the lines unaona kunamapungufu mengi Sana ya alichokisema, mm ninashauri inaonekana kunakitu hakipo sawa ama kwa serikali, hifadhi na wakazi Hawa, Sasa nashuri tu iandaliwe documentary, kuonesha Hali halisi, na wasiilete kwa interest za upande wowot, Kisha waujulishe uma,

Maana nmemsikia WM naona Kama nae Hana mamlaka hv anakuja na maoni Kama yangu, ukiina hvyo tunakoelekea si kuzuri
 
Vitu vyote vimeshindwa kuwasadia itakuwa Ngorongoro!?
Hiyo ngorongoro tok 59 haijapotea iwe leo?
Utakuwa na matatizo gesi mmechukua kwa nguvu alafu unahoji nini sasa..
 
Ngorongoro Ngorongoro, wacha Tu ije iwe historical site.
Zipo mbuga nyingine, watalii wataenda huko!
Selous, RUAHA, Mikumi, Tarangire, Chato, Serengeti e.t.c

Hii nchi ina mambuga na mapori ya Akiba ya kutosha!
 
Tanzania inaweza isiwepo mpaka mwisho wa dunia ( una maana gani sijui??) kama unavyofikiria, ilikuwepo Tanganyika miaka hata 50 haijapita leo haipo na kabla ya scramble of Africa Tanzania ilikuwa inaitwa nini vile? usijidanganye haya mataifa yapo tuu lakini hayadumu, na hii climate change unaweza kukuta in next 50 years Africa ni ya wazungu tuu
 
Brilliant argument
Wait a minute, mine could be even better.

In short, let's be smart. What's unique in changing people's customs to allow them live and co-exist with wildlife?

For instance, does a Massai have to keep hundreds herd of cattle to maintain a satisfactory lifestyle? What hapens if he keeps five, 10 improved cattle that can generate more income for him than the 100 herd in a year?

I am not completely averse to the idea of Ngorongoro being reserved for wildlife, but I am simply pointing out that there are better management methods that can allow co-existence of wildlife and human with minimal impact to the ecosystem of the area.

Lakini najua tulivyo wavivu wa kufikiri na kutaka vitu vya mkato mkato.
 
Wamasai na huyu mchungaji uchwara wote wakamatwe tu na kupelekwa mapori mengine, tumechoka kusikia kila siku wamasai hili wamasai lile.
 
Wazo lako si baya vile, hasa hlo la kuondoa binaadam wote ndani ya crater. Hii ni 'option' mojawapo.
Lakini pia inawezekana kabisa kupunguza impact ya uwepo wa binaadam ndani ya eneo hilo kwa kutumia njia nzuri za kubana shughuli zao wakiwa ndani ya 'crater'.
Ni swala la kupanga tu kisayansi jinsi ya kulinda raslimali hiyo iendelee kuwa kivutio muhimu.
 
Na wewe una tetea upande wa wenye ng'ombe tokea Arusha.

Halafu Chadema mmezowea kudandia matukio.
 
Na wewe una tetea upande wa wenye ng'ombe tokea Arusha.

Halafu Chadema mmezowea kudandia matukio.
Niache kupeleka ng'ombe kiteto au Simanjiro au Handeni, niwapeleke Ngorongoro? Inaonekana hamfanyi utafiti au mnaendekeza njaa.
 
Endeleeni kuwachekea chekea hao Masai
 
I am simply pointing out that there are better management methods that can allow co-existence of wildlife and human with minimal impact to the ecosystem of the area.
Why should we venture into such a tidious method that allows coexistence of wildlife and human beings ? We have enough land that provides us with an opportunity to relocate these maasai people to better places equipped with all social services including residential houses.
 
😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
These people have a right to their way of life; after all, if you think it is tedious to manage and support their way of life where they are, how can you be believed for the hot air you're venting regarding the promises?

By the way, use that "enough land" to create opportunities, and let the masaai stay in their habitat.
 
if you think it is tedious to manage and support their way of life where they are, how can you be believed for the hot air you're venting regarding the promises?
They are no longer promises. Actions are in place that"s why residential houses have already been erected waiting to be inhabited.
 
They are no longer promises. Actions are in place that"s why residential houses have already been erected waiting to be inhabited.
You must be nuts to think you're cleaver to claim something that does not exist!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…