Naunga mkono hoja ya Watu kuhamishwa Ngorongoro ili Kunusuru huo mbuga mana Growth yake kwa sasa iko juu kuanzia wao mpaka mifugo in 20 years to come tunaweza kupoteza hio hifadhi ivo wajibu ni wetu kuilinda, ila sitegemei hao Wananchi watolewe then wapewe waarabu hilo eneo