Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Jo hiki chama kinakunyima usingizi mno naona,.. Are you haunted by CHADEMA?Msigwa huyu huyu " mwanafamilia"?!
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jo hiki chama kinakunyima usingizi mno naona,.. Are you haunted by CHADEMA?Msigwa huyu huyu " mwanafamilia"?!
Kweli nyani haoni kundule, Wangwe, Zitto, Mwambie, Sumaye Hawa wote walichukua form kumpinga Mbowe. Wako wapi leo?Inaonyesha namna gani kwenye chama cha Chadema, demokrasia ilivyokomaa........
Kule kwenye chama cha kijani, ukisikika tu una mpango wa kuchukua fomu na kutaka kumpinga Jiwe, unafukuzwa toka kwenye Chama!
CC Bia yetuHuyu Msigwa aliemzushia Kinana?,kisha kuomba radhi baada ya miaka saba?
Msigwa haaminiki?Ni haki yake ila mwisho wa siku atakuja kujitoa na kusema anamuunga mkono Lissu.Hata Nyalandu nae atakuja kujitoa na kumuachia Lissu hiyo nafasi.Huu ni mkakati wa kisiasa wa kumpa Lissu nguvu zaidi katika uchaguzi huu japo hatuna Tume Huru.
Kama anataka kutafuta sababu ya kuondoka CHADEMA kupitia mchakato wa uteuzi, muda utasema.
Mizaha yao ipoje? Kuna mzaha unazidi ule wa CCM 2015? Au mwenzetu kipofu huoni?Wagombea wa Chadema ni full mizaha!
Sana!Kunaondoa sifa ya kua Rais?
Sio ahaminiki tu, pia mjinga, amezoe kuwadanganya waumini wake, na amechukua hiyo hadi kuwazushia watu mabalaa, ni mpuuzi!Leo Peter Msigwa amekuwa kiumbe asieaminika?!
Maisha yanaenda kasi sana.
Hana haki kwa kuwa alipaswa apate hukumu ya kijinai anayomwondolea sifa!Haki yake ya kidemokrasia
Kumbe ile ilikuwa process ya comrade Kinana kuomba radhi na kurudi kundini. Msigwa alitumika kama dodoki.Huyu Msigwa aliemzushia Kinana?,kisha kuomba radhi baada ya miaka saba?
Kwani wewe unapangiwa utaratibu wa kuishi nyumbani kwako? Kila nyumba Ina taratibu zake.chadema kuna tatizo mtu kugombea anaandika barua? kawaida inatakiwa achukue fomu ya kuomba kugombea aijaze na kuirudisha hili lichama la chadema mbona limekaa kienyeji sana
Sawa ila unapaswa kujipima aidha kuwa mchezaji au mshangiliaji ili ujipe furaha!Kwani wewe unapangiwa utaratibu wa kuishi nyumbani kwako? Kila nyumba Ina taratibu zake.
Ni mtindo tu usihofu, na ni mzuri, ungetumika kwenye serikali za mitaa tusingepata viongozi wa vitongoji wasiojuwa kusoma na kuandika kama walivyo leo wengi, kwetu ni kibao na wamefanikiwa kwa kuwa walipita kwa wengine kuenguliwa sababu walitumia anuani ya mkurugenzi!chadema kuna tatizo mtu kugombea anaandika barua? kawaida inatakiwa achukue fomu ya kuomba kugombea aijaze na kuirudisha hili lichama la chadema mbona limekaa kienyeji sana
ni haki yake kuboresha cv kabla ya kutoka dunianiMbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania
Atakosa mpak yake?Sijui akipitishwa kama atapata hata kura moja
Hats 40 wachukue tu na chama kichangiwe bhana.sio Kule ccm fomu ya urais Ni ya MTU mmoja tula manyani sasa 😂😂😂😂
Kila chama kina taratibu zake usikariri.chadema kuna tatizo mtu kugombea anaandika barua? kawaida inatakiwa achukue fomu ya kuomba kugombea aijaze na kuirudisha hili lichama la chadema mbona limekaa kienyeji sana