Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 655
- 543
Dah umenikumbusha ile skendo ya kulipiwa na jiwe Ml40Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Mhe. MsigwaPeter, Juni 04, 2020 amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Mhe. John Mnyika ya kutia nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Only Time Will Tell.
Umetumia vigezo vipi mkuu?Msigwa hafai bhana duh!
Yeah!Duh msigwa Hana power labda afanye hivyo Kama mshiriki tu.
Nani anafaaMsigwa hafai bhana duh!
Uwe na subira mkuu kwani chama chake kimemthibitisha? Kwa mfano na mwingine akisema nani atapambana?Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Mhe. MsigwaPeter, Juni 04, 2020 amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Mhe. John Mnyika ya kutia nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Only Time Will Tell.
Kinana yupi, huyu msomali aliyelamba matapishi yake mwenyewe.Huyu Msigwa aliemzushia Kinana?,kisha kuomba radhi baada ya miaka saba?
Huyo kutokuaminika ni toka kipindi kile cha Nyalandu akiwa Waziri na yeye akiwa waziri kivuli.Leo Peter Msigwa amekuwa kiumbe asieaminika?!
Maisha yanaenda kasi sana.