Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Mhe. MsigwaPeter, Juni 04, 2020 amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Mhe. John Mnyika ya kutia nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Only Time Will Tell.
 
Twende twende twende. Ila ccm pamoja na kumiliki dola zote na B.O. T bado ni waoga sana hasa mtu anapotamka neno Urais huku hajamjumuisha Meko
 
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Mhe. MsigwaPeter, Juni 04, 2020 amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Mhe. John Mnyika ya kutia nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Only Time Will Tell.
Dah umenikumbusha ile skendo ya kulipiwa na jiwe Ml40
 
.
EZugRdmXQAQdft1.jpeg
 
Ameshajikatia tamaa ubunge Iringa mjini haupati tena, kwahiyo anaboresha CV yake ionekane angalau aliwahi kugombea urais.
 
Ubunge anapata shemeji yake mkubwa tena, uraisi najua ni nia tu kama za mwaka jana kwa CCM.
 
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema, Mhe. MsigwaPeter, Juni 04, 2020 amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Mhe. John Mnyika ya kutia nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Only Time Will Tell.
Uwe na subira mkuu kwani chama chake kimemthibitisha? Kwa mfano na mwingine akisema nani atapambana?
 
Kuonesha kuwa Chadema kuna Demokrasia!!!! Kila mwana chama ana haki ya kugombea nafasi yoyote!!!
 
Hao ccm wao wana wagombea wangapi au nafasi ya urais kwao ni "Reserved for the Warlord"..
 
Hapo ndio mwisho wa msigwa.

Yaan kaamua kujiondoa kwenye siasa za CHADEMA kwa namna hiyo hapo.
 
Leo Peter Msigwa amekuwa kiumbe asieaminika?!

Maisha yanaenda kasi sana.
Huyo kutokuaminika ni toka kipindi kile cha Nyalandu akiwa Waziri na yeye akiwa waziri kivuli.
 
Back
Top Bottom