mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Ni haki ya kila Mwanachadema kuomba kuteuliwa. Mbona CCM mwaka 2015 walijitokeza kama 30?! Kama kungekuwa na demokrasia ndani ya CCM wangejitokeza wengi tu. Lakini wanaogopa kwa yatakayowapata, maana wanaweza kupotea hivi hivi!Anatumia nguvu nyingi huku mizizi ya shingo ikimtoka kutuaminisha kitu huku akijua kuwa ni uongo . Sijui anatuchukuliaje
Mara mia chadema kuliko ccm, urais kugombea mwiko kwa wanachama isipokuwa jiweMsigwa naye anataka urais??!!! Duh! Hatari sana. Narudia kusema huu mchakato wa kuwania urais kupitia Chadema ndio kaburi la Chadema. Chadema sasa inakufa kifo cha mende.
Mkuu mbona unashindwa kujiamini au kuwaamini wanachadema wenzako kwa hiyo tuseme huna Imani na Msigwa?Ni haki yake ila mwisho wa siku atakuja kujitoa na kusema anamuunga mkono Lissu.Hata Nyalandu nae atakuja kujitoa na kumuachia Lissu hiyo nafasi.Huu ni mkakati wa kisiasa wa kumpa Lissu nguvu zaidi katika uchaguzi huu japo hatuna Tume Huru.
Kama anataka kutafuta sababu ya kuondoka CHADEMA kupitia mchakato wa uteuzi, muda utasema.
Hizo ni hesabu ndefu kama ulikuwa sifuri darasani huwezi kukokotoa hii huyo ni mchezaji wa akiba ikiwa lissu atapewa red cardMbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania,
---
Mbunge wa jimbo la Iringa Mjinikupitia chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Peter Msigwa pamoja na Muheshimiwa Tundu Lissu wametangazwa kuwasilisha barua ya kutia niaya kuwania Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanial
Kwa nyakati tofauti wamewasilisha barua hizo kwa katibu mkuu wa chama hicho ambapo Lissu anadaiwa kuongea na Watanzania muda wowote.
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa CC ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Peter Msigwa amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, ya kutia nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndo nani?Kwan Mr. Stone mrefu??
Atakuwa sio binadamu huyo,ana mizizi shingoni?Anatumia nguvu nyingi huku mizizi ya shingo ikimtoka kutuaminisha kitu huku akijua kuwa ni uongo . Sijui anatuchukuliaje
IQ ya kutudanganya Watanzania kuwa KINANA ni jangili halafu baadae anakuja kuomba radhi?IQ ya Msigwa ni zaidi ya Wabunge na Viongozi wengi tu wa CCM.
Imagine wonders shall never end loh!Huyu Msigwa aliemzushia Kinana?,kisha kuomba radhi baada ya miaka saba?
Afadhali huyo muda aje aseme tu maana najionea vitimbi tu!Ni haki yake ila mwisho wa siku atakuja kujitoa na kusema anamuunga mkono Lissu.Hata Nyalandu nae atakuja kujitoa na kumuachia Lissu hiyo nafasi.Huu ni mkakati wa kisiasa wa kumpa Lissu nguvu zaidi katika uchaguzi huu japo hatuna Tume Huru.
Kama anataka kutafuta sababu ya kuondoka CHADEMA kupitia mchakato wa uteuzi, muda utasema.
Labda ya kusema uongoIQ ya Msigwa ni zaidi ya Wabunge na Viongozi wengi tu wa CCM.