Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Sijui akipitishwa kama atapata hata kura moja
 
CHADEMA ikipitisha Msigwa, 'ata fisi za watani zangu wagogo, zinazochekeleaga kuvuka barabara za lami, ZITAVUNJIKA MBAVU!
😅😅😅 👊 ✌✌✌💥
 
Yuko sahihi apewe tu hakuna namna ila si yupo kwenye CC ya Chadema ? Sijui imekaaje hii.
 
Leo Peter Msigwa amekuwa kiumbe asieaminika?!

Maisha yanaenda kasi sana.
 
Ana haki kamili kuomba. Shida sio kuomba ateuliwe bali ni, Je, anastahili? ? Asije acha kugombea ubunge wake aseme aliyajua hayo ya kutochaguliwa au kuteuliwa na cc ya cdm
 
Back
Top Bottom