Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia line yako ya simu umesajili kwa jina gani,bonyeza *106# kisha okNI haki yake kikatiba, japo, kwa maneno ya 'nsanzi' yake JPM, inambidi ajitathmini kama koti halitachekesha wapiga kura kama la jamaa fulani linavyochekesha 'comedians' wetu! 😅
Ushindani ni mwaka wenye 5 mwisho siyo wenye 0Mizaha ipi?
Upande wenu vipi?
Nasikia Mtukufu Jiwe hataki ushindani wa ndani.
Acha ujinga wewe 2015 ccm walijitokeza hadi walima viazi hadi tukalamba garasha...mlikuwa zaidi ya 42.Wagombea wa Chadema ni full mizaha!
KweliIQ ya Msigwa ni zaidi ya Wabunge na Viongozi wengi tu wa CCM.
Mchungaji Msigwa huyu huyu muuza mitumba wa Miyomboni?Acha ujinga wewe 2015 ccm walijitokeza hadi walima viazi hadi tukalamba garasha...mlikuwa zaidi ya 42.
Kati ya mwenyekiti wa ccm na Msigwa yupi mwenye madini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kuweka record tu kuwa alishawahi kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania, hapo sawa.
Na Magufuli akiwemo.IQ ya Msigwa ni zaidi ya Wabunge na Viongozi wengi tu wa CCM.
I already know that I'm signing my euthanasia form, ... much much better than enduring TYRANNY!Angalia line yako ya simu umesajili kwa jina gani,bonyeza *106# kisha ok
Ujue ile faini iliyolipwa na wanafamilia ndio ilimtoa Mbowe jela!Huo uanafamilia wa Kuunga unga?
CCM inatumia katiba ya JMT ambayo kikomo cha urais ni miaka 10!Katiba ya Chama inasemaje kwani?
Au Utamaduni una nguvu kuliko Katiba?