Peter Msigwa: Baada ya kushinda kesi ya Mbowe, nini hatma ya mauaji ya Akwilina?

Peter Msigwa: Baada ya kushinda kesi ya Mbowe, nini hatma ya mauaji ya Akwilina?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
"Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?"

- Mch. Peter Msigwa

-
 
Askari aliyefyatua risasi anafanywa nini ?.
Mambosasa anawajua vizuri, maana aliviambia vyombo vya habari kuwa amewakamata na kuwaweka ndani hao askari wahusika kipindi kile
 
Pesa walizochangiwa Chadema familia ya Akwilina wapewe nusu kama kifuta machozi.
 
Sasa umuhimu wake ulikuwa upi?Hebu elezea.
Alikua anatufundisha kwavitendo kwamba KATIBA mpya nimuhimu kuliko kusubiria huruma yamtu au ukali wake yeye..kama hujanielewa katiba yetu inampa kiburi rais aliyepo madarakani na akiwa mwendawazimu basi tumekwisha ,ccm kazikwao msisubiri tukate tamaa
 
Msigwa ana kichwa kidogo ila ana akili njema sana.We need people of the like.Ni muhimu kwa afya ya taifa.Siyo mtu anakuwa na mbichwa mkuuubwaaa halafu hana akili nzuri.Ni kama li-radio kubwa bendi moja[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Au lisoika likuuubwa linatoa sound mbovu...a.k.a nduga ya yai
 
Back
Top Bottom