Peter Msigwa: Baada ya kushinda kesi ya Mbowe, nini hatma ya mauaji ya Akwilina?

Peter Msigwa: Baada ya kushinda kesi ya Mbowe, nini hatma ya mauaji ya Akwilina?

Hivi wanaosababisha vifo vya watu huwa wanakuwa na amani ya moyo? Kwenye swala hili kuna yule aliyekuwa mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni Aron Kagurumjuli, Muliro alikuwa rpc Kinondoni wakati huo, Mambosasa pengine na wengine.
 
Wakuu bado sura ya mdogo wetu Akwilin Akwilina inanijia. Sijui kwanini jambo kubwa kama hili lilimalizwa kiaina katika dunia ya leo. Kulingana na mazingira ya kifo kuhusisha vyombo vya usalama ni wakati sasa wa kulifungua jarada la kesi ya Akwilin ili wahusika wawajibishwe.
giphy.gif
 
Msigwa ana kichwa kidogo ila ana akili njema sana.We need people of the like.Ni muhimu kwa afya ya taifa.Siyo mtu anakuwa na mbichwa mkuuubwaaa halafu hana akili nzuri.Ni kama li-radio kubwa bendi moja👍👍👍👍
[well thought out!!
 
Back
Top Bottom