Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Naona CHADEMA ikiingia majaribuni kwa kasi, ingawa sina uhakika kama ni kwa kujitakia au?

Baada ya Selasini, sasa Msigwa nina imani kuna wengine wako njiani, huku ni kujiingiza majaribuni.

Wajiulize, wakibaki bila hawa wasio kuwa na msimamo, watapungukiwa nini? Au kuja kwao kutaongeza nin ambacho hakiwezi kufanyika bila wao?

Kwanini, hili wimbi liwe sasa? Chama kimejiridhisha vipi kuwa, hawa hawawezi kuwa chanzo cha migogoro?

Eti Selasini karudi CDM.... heri wenye vyama vyao. Hatujifunzi?
 
Selasini anaweza kuanzisha migogoro nakuunga mkono
 
Hakuna kitu Kama hicho
 
Siasa za Bongo ni hatari sana
 
Naona Lissu ataachiwa kabla ya mwisho wa mwezi wa 6. Ccm imekwisha yapanga majembe Yao yarudi cdm na waende kumthibiti huyo Lissu. Nafikiri huu ndio mpango wao, yaani kuhakikisha kwamba akiachiwa Huru hana madhara Tena Kwa ccm maana tayari virus wao watajua kupambana naye ndani kwa ndani huko chadema. Ni maoni yangu tu . Povu ruksa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…