Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Ninaelewa sana unachojaribu kueleza hapa.

Ujio wa Lowasssa ndani ya CHADEMA wakati ule ni tofauti kabisa na haya yanayojadiliwa hapa.

Wakati ule kulikuwepo na uwezekano mkubwa wa kuing'oa CCM madarakani. Hilo ndilo lilikuwa jambo muhimu kuliko mengine yote.
Lowassa alikuwa na matumaini ya kuwaondoa CCM kutokana na historia yake tokea nyuma.
Alifanyiwa mizengwe na hao unaowaita wazazi wake.
Kampeni aliyofanya ndiyo iliyomwangusha; vinginevyo hali ingekuwa ngumu huko CCM.
Poleni
Ishu ya lowassa ilijawa na tamaa za madaraka na wala sio kumtoa ccm madarakani, kwan angeteuliwa kugombea urais ccm mngesemaje tena?
 
Licha ya matusi yote yale aliyo kuwa ana warushia chadema + vicheko vya dharau na lawama kede kede Leo anarudi chadema

Maana hapo kwanza ncheke

Hawa wanasiasa wa tz walisha wapima raia wa Tanzania na kuwaona ni wajinga so wame amua kuwapeleka wanavyo taka kama ming'ombe
Kuna kitu watu tunashindwa kukielewa. Chama cha siasa is a political vehicle. Mtu analipanda hilo gari kama ana safari (political ambitions). Asiyekuwa na safari hapandi, kwa sababu hahitaji kufanya hivyo.

Abiria akiona seats zilizobaki ni za watu wanaokwenda Morogoro na yeye anakwenda Mbeya, yuko likely kuliacha hilo gari badala ya kushika bomba!
 
Mm nijifunze siasa ili inisaidie nn?

Vp yale ya lowassa iliishia vp?
Bado hamjifunzi kutokana na makosa yenu mwnyw? Lowassa baada ya kukosa ulaji kupitia chadema akaamua kurudi ccm, kuelewa h n mpaka muwekwe darasani Au?

Ukishakuwa msaliti, daima n msaliti tuu.
Jifunze siasa itakusaidia kuelewa unacho uliza
 
Poleni
Ishu ya lowassa ilijawa na tamaa za madaraka na wala sio kumtoa ccm madarakani, kwan angeteuliwa kugombea urais ccm mngesemaje tena?
Naona huelewi ninachosema, au unajifanya tu huelewi.

Ndiyo, Lowassa aliingia CHADEMA kwa sababu ya madaraka; na CHADEMA vilevile waliokubali Lowassa agombee wengi walikuwa na matarajio ya kuwa madarakani; lakini pia kulikuwepo na lengo muhimu zaidi ya hayo yote kwa baadhi yetu; kuiondoa CCM madarakani.

Nimekwisha kwambia, leo hii kama wewe mkuu 'Mbaga' unaweza kuiondoa CCM madarakani, mimi nitaungana na wewe, pamoja na kwamba sijui unasimamia wapi kisiasa

Sasa tusiendelee kuzungushana kwa jambo lililowazi.
 
A search for angels in a sinners house is a futile exercise.

Kwa politicians, switching political parties ni kitu cha kawaida sana! Hata Lissu alijiunga CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi.
No one says switching si jambo la kawaida., even then prostitution is frowned upon in many societies; but somehow becomes 'jambo la kawaida'..

You switch seeking to annihilate (kill) your former party; then you realize your efforts are futile, then you seek to switch again to join the fighters. I have never seen such politics anywhere!
How can this be politics?

In the same breath we should accept what Samia Suluhu Hassan is doing to Tanzania as being politics, "jambo la kawaida" kuua waTanzania! Because it is politics! Mantiki ya ajabu sana.

Samia kajiunga CHADEMA from CCM. Hilo ni jambo la kawaida sana katika siasa! Hata Lissu kaamua kuhamia CCM jana! We seek no angels in politics!
 
Licha ya matusi yote yale aliyo kuwa ana warushia chadema + vicheko vya dharau na lawama kede kede Leo anarudi chadema

Maana hapo kwanza ncheke

Hawa wanasiasa wa tz walisha wapima raia wa Tanzania na kuwaona ni wajinga so wame amua kuwapeleka wanavyo taka kama ming'ombe
Leo umejieleza sana, and I like what I am reading!
 
Jamaa amekaa amesikilizia tangu hy 29 October hakuna uteuzi, akaamua aitumie kama kigezo cha kuondoka 😂
 
Ukiona Mtu anaweza kumsaliti mzazi wake na kuja kwako rafiki yake, usidhani atashindwa kukusaliti ww rafiki.

Sasa chadema wakadanganyika na maneno matamu ya lowassa kuwa wataiondoa ccm

Ndo alichofanya lowassa.
Hayakuwa maneno matamu. Lowassa alikuwa na 'potential' ya kuwaondoa CCM hata kabla ya ujio wake.
Hali yake wakati wa Kampeni ndiyo iliyobadili kila kitu.
 
No one says switching si jambo la kawaida., even then prostitution is frowned upon in many societies; but somehow becomes 'jambo la kawaida'..

You switch seeking to annihilate (kill) your former party; then you realize your efforts are futile, then you seek to switch again to join the fighters. I have never seen such politics anywhere!
How can this be politics?

In the same breath we should accept what Samia Suluhu Hassan is doing to Tanzania as being politics, "jambo la kawaida" kuua waTanzania! Because it is politics! Mantiki ya ajabu sana.
Ukisikiliza kauli zake alipokuwa CCM utagundua kwamba yeye na Mbowe walikuwa na tofauti ambazo zilikuwa irreconcilable (real bad blood). Msigwa alikuwa na options mbili: kuondoka mwenyewe au kusubiri kufukuzwa kwa fedheha kama walivyofanyiwa kina Zitto. Aliona kuondoka mwenyewe ilikuwa better option.

Unfortunately, Msigwa alikuwa amepoteza matumaini ya uwezekano wa Mbowe kung’atuka anytime soon. Na kwa assessment yake, CHADEMA, chini ya uongozi wa Mbowe, was no longer his preferred political vehicle!
 
As hard as you can try, there's no justification that can explain away Msigwa's clear lack of principled ethos.

The fact that he even shows no convincing remorse for his wayward behavior, puts him among the worst unreliable individuals.
Now that you evoke Mbowe's name; that episode itself is a clear signal if Msigwa's unreliability.
I'll remind you of the story he created against Sugu when he actually lost an election; and his subsequent efforts to rope in his so called friend Tundu Lissu. Very glad that he was ignored.
 
The building or rebuilding of trust is gradual and deliberate. I am sure he knows that mere words aren’t going to do the trick.

His decision to come back means he is ready to do what it takes to mend fences!
 
The bottomline is this: if CHADEMA wants to differentiate itself from the politics of deceit; and genuinely become a true political party with specific convictions; then it has to work hard standing fo this ideal.
Which means the membership of the party believe in the same convictions.
If that should be the case, then the types of Msigwa will automatically have no place in the leadership of the party. Because leaders will be elected by discerning members who will effectively prune out the dead wood from the party.

It is my sincere belief that CHADEMA has learnt an important lesson from its own past; but also what has been going on in CCM to succumb to the same failures again.

For that reasonalone, there should be no fear from such turncoats like Msigwa.
 
Time will tell.
 
Back
Top Bottom