Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Msigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
But even after Mbowe; what did this idiot do?
What he did is what matters most.

Try and remind yourself; there are a few examples of his utterances in this forum against CHADEMA when he was trying hard to impress his new masters!
 
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
NOMA SANA.....kiruuuu!?
 
Kundi la heche huyo wanakitaka kiti cha lissu ndomana wanapinga maridhiano ili lissu aendelee kuozea jela
Hii nayo ni propaganda,sasa maridhiano ndo yamemuweka lissu kifungoni!?

Lissu mbona keshasema yeye yuko tayari kwa lolote lile serikali ya dharimu Samia itafanya juu yake ila sio kupiga magoti!
 
😄😍😃😂😅😁😆🤪🤣🤣😃😂😅😅
 
Naona Lissu ataachiwa kabla ya mwisho wa mwezi wa 6. Ccm imekwisha yapanga majembe Yao yarudi cdm na waende kumthibiti huyo Lissu. Nafikiri huu ndio mpango wao, yaani kuhakikisha kwamba akiachiwa Huru hana madhara Tena Kwa ccm maana tayari virus wao watajua kupambana naye ndani kwa ndani huko chadema. Ni maoni yangu tu . Povu ruksa.

Ulivyomalizia hapo mwisho huo ni utoto, mtu mzima huwezi andika hoja alafu unaleta habari za “povu ruksa”
 
View attachment 3593736
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.

Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.

Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.

Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.

Soma Pia:
Asanteni Sana.
Msigwa angepewa ka cheo CCM angeyaona yote hayo? Hata kama karejea ila sio wa kumwamini, labda mniambie alikuwa huko kwa kazi maalumu
 
Kama chadema wakimpokea, bc chadema watakuwa Wapumbavu mno.

N watu gani hawa wanashindwa kujifunza kutokana na makosa yao wnyw, yale yale ya 2015 yanarudi.

Sasa vp waliokuwa wanamtukana na kumuona n mpumbavu akina Erythrocyte watasemaje Sasa 😂
Jifunze siasa, chama cha siasa hakikatai mwanachama hata angeondoka na kurudi mara 10 ila hawezi tena kuipata nafasi ile aliyo iacha
 
Kundi la heche huyo wanakitaka kiti cha lissu ndomana wanapinga maridhiano ili lissu aendelee kuozea jela
Wewe mnafiki na mchonganishi.
Msigwa hajakosa akili kiasi cha kufikiria akirudi CHADEMA atafikiriwa kuwa mwenyekiti.
 
Siasa ndivo zilivyo, Msigwa alikua CCM lkn damu yake ilikua CHADEMA you can tell this.

Binafsi napenda dynamic political system kama ya kenya, mnaacha vyama pembeni mnatengeneza alliances wakati wa kampeni.

Hii ya kufanya chama kama kabila ni hatari.
 
Kama chadema wakimpokea, bc chadema watakuwa Wapumbavu mno.

N watu gani hawa wanashindwa kujifunza kutokana na makosa yao wnyw, yale yale ya 2015 yanarudi.

Sasa vp waliokuwa wanamtukana na kumuona n mpumbavu akina Erythrocyte watasemaje Sasa 😂
Apokelewe tu mkuu, huyu alienda CCM ila moyo wake ulikua chadema. Nadhani baada ya Mbowe kuanguka hakua na sababu tena ya kubakia CCM.
 
Tulishaonya hapa kuhusu kuwapokea WASALITI,msaliti HAAMINIKI,usaliti ni ROHO CHAFU ya LAANA NA MAUTI,KIFO cha utu wako,heshima yako,kifo cha character yako,character suicide/self assassination,MSALITI ni walking dead,MSALITI ni mtu anaye UZA UTU WAKE,anayeuza TRUST YAKE ,MSALITI NYERERE ALIMUITA MALAYA WA KISIASA,DHAMBI YA USALITI NYERERE ALIIFANANISHA NA KUONJA KULA NYAMA YA MTU..

MSALITI sio binadamu wa kwaida msaliti hana akili timamu hajielewi hana MSIMAMO haelewi wala hasimamii katika kile ANACHOKIAMINI na kile alichoaminiwa,MSALITI ANAJITOA UFAHAMU,anajizima data ,anajitoa akili,
MSALITI NI COWARD...
Msaliti hashindwi kumuuza hata mke wake au familia yake ..huyu YUDA
MSALITI ni MTU MBAYA SANA...hafai popote...MNAFIKI huyu msaliti ni mbaya sana,

KAA MBALI NA YUDA MSALITI..MSALITI HAFAI KABISAAAAA
 
Naona Lissu ataachiwa kabla ya mwisho wa mwezi wa 6. Ccm imekwisha yapanga majembe Yao yarudi cdm na waende kumthibiti huyo Lissu. Nafikiri huu ndio mpango wao, yaani kuhakikisha kwamba akiachiwa Huru hana madhara Tena Kwa ccm maana tayari virus wao watajua kupambana naye ndani kwa ndani huko chadema. Ni maoni yangu tu . Povu ruksa.

Kwenye maisha kuna kitu kunaitwa Nyakati, na sasa ni nyakati za TAL kwa upinzani n ahakuna wa kupambana nae mpaka nyakati zake zipite.
 
But even after Mbowe; what did this idiot do?
What he did is what matters most.

Try and remind yourself; there are a few examples of his utterances in this forum against CHADEMA when he was trying hard to impress his new masters!
No political beast behaves differently!
 
Apokelewe tu mkuu, huyu alienda CCM ila moyo wake ulikua chadema. Nadhani baada ya Mbowe kuanguka hakua na sababu tena ya kubakia CCM.
Weka humu 🗑️

Sasa mbona mada zilikuwa nyingi kumsema vibaya kuwa n msaliti wakat mnajua moyo wake upo chadema?

Msigwa amekosa Kitengo cha ulaji Huko ameamua kurudi, nyie tyr mnamuona masihi 😂

Chadema hamjawahi kujitambua kwa makosa yenu, miaka ijayo samia atahamia chadema na mtaanza kumsifia vile vile 🗑️
 
👉Ogopeni watu wanaobadilisha misimamo kila wanapokosa wanachokitafuta. Leo ni waaminifu, kesho wanageuka maadui wa walewale waliokuwa wakiwatetea.

👉 Mchungaji Peter Msigwa aliwahi kuhubiri madhabahuni kama mtumishi wa Mungu, lakini baadaye akaacha kazi ya uchungaji na kuingia moja kwa moja kwenye siasa.

👉Akiwa CHADEMA, alijijenga kisiasa na kupata umaarufu mkubwa kupitia chama hicho. Lakini baada ya kukosa nafasi ya uenyekiti wa kanda, akaamua kukihama na kukisaliti chama Cha demokrasia na maendeleo na kuhamia CCM.

👉Wakati huo alionekana kuisifu CCM na kuikosoa CHADEMA kwa nguvu kubwa, jambo lililowafanya wengi kuamini kuwa amehamia upande aliouona wenye maslahi zaidi kwake.

👉Lakini leo hii, baada ya kukosa nafasi na ushawishi ndani ya CCM na uongozi, ametangaza nia ya kuondoka na kurejea CHADEMA tena,

👉Hii ndiyo tabia ya watu wasiokuwa na msimamo. Wakikosa madaraka hubadilisha upande haraka na wakiona maslahi yao hayapo tena huanza kuwasaliti waliokuwa wakiwatetea jana,

KATIKA BIBLIA PETER ( PETRO ) ANAJULIKANAJE👇

👉 Simon Peter ( petro ) alikuwa mmoja wa wanafunzi waliokuwa karibu zaidi na yesu. Petro alikuwa mtu mwenye msimamo wa haraka, jasiri na mwenye kuonyesha upendo mkubwa kwa Yesu mbele ya watu. Mara nyingi alikuwa akizungumza kwa kujiamini na kuonyesha kuwa yupo tayari kusimama na Yesu katika hali yoyote ile.

👉 Katika usiku wa mwisho kabla Yesu hajakamatwa, Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuwa wangetawanyika kutokana na hofu. Petro aliposikia maneno hayo alimjibu Yesu kwa ujasiri mkubwa akisema kuwa hata kama wengine wote wangemwacha, yeye asingemkana kamwe. Lakini Yesu alimwambia wazi kuwa kabla jogoo hajawika, Petro angemkana mara tatu mbele ya watu.

👉 Baada ya Yesu kukamatwa na askari, wanafunzi wengi walikimbia kwa hofu ili wasiunganishwe naye. Petro alimfuata Yesu kwa mbali huku akiwa na mashaka na hofu moyoni. Alifika karibu na ua wa mahakama ambapo Yesu alikuwa akihojiwa, ndipo baadhi ya watu wakaanza kumtambua kuwa alikuwa mmoja wa wanafunzi wake.

👉 Mtumishi mmoja wa kike alipomuona Petro karibu na moto wa kuota joto alisema kuwa alikuwa pamoja na Yesu. Petro akaingiwa na hofu kubwa akamkana Yesu mara ya kwanza mbele ya watu. Baadaye watu wengine waliendelea kumtambua kupitia lafudhi na sura yake, lakini Petro akaendelea kukataa kwa nguvu akisema hamjui Yesu kabisa.

👉 Mara baada ya Petro kumkana Yesu mara ya tatu, jogoo akawika ghafla usiku ule. Petro akakumbuka maneno ambayo Yesu alikuwa amemwambia kabla ya kukamatwa kwake. Alijawa na huzuni, majuto na maumivu makubwa moyoni kwa sababu alitambua kuwa alimwangusha Yesu aliyempenda sana. Petro akaondoka mahali pale na kulia kwa uchungu mkubwa sana.

👉 Simon Petro alikuwa na tabia ya kujiamini kupita kiasi, aliahidi kuwa hawezi kumuacha Yesu hata kama wengine wote wangemuacha, lakini mwisho alimkana mara tatu.

👉 Petro alikuwa mtu wa hasira za haraka, hadi akatumia upanga na kukata sikio la askari wakati Yesu alipokamatwa bustanini.

👉 Petro alikuwa na woga wa kushindwa kusimamia ukweli mbele za watu, kwani aliogopa kutambulika kuwa mwanafunzi wa Yesu.

👉 Wakati mwingine Petro alikuwa mwepesi wa kuropoka kabla ya kufikiri kwa kina, jambo lililomfanya aseme maneno yasiyo na busara katika baadhi ya matukio.

👉 Petro alikuwa na imani inayotikiswa kirahisi na mazingira, alianza kuzama baharini baada ya kuingiwa na hofu alipokuwa akitembea juu ya maji.

👉 Petro alionyesha udhaifu wa kushawishiwa na presha ya watu waliomzunguka badala ya kusimama imara kwenye kweli.

👉 Mara nyingi Petro alikuwa na tamaa ya kutenda kwa nguvu za mwili kuliko hekima ya kiroho, jambo lililomfanya kuchukua maamuzi ya haraka yasiyo sahihi.

👉 Petro pia alikuwa na ugumu wa kuelewa baadhi ya mafundisho ya Yesu mapema, licha ya kuwa karibu naye muda mwingi✍️
20260524_124216.jpg
20260524_124221.jpg
 
Tulishaonya hapa kuhusu kuwapokea WASALITI,msaliti HAAMINIKI,usaliti ni ROHO CHAFU ya LAANA NA MAUTI,KIFO cha utu wako,heshima yako,kifo cha character yako,character suicide/self assassination,MSALITI ni walking dead,MSALITI ni mtu anaye UZA UTU WAKE,anayeuza TRUST YAKE ,MSALITI NYERERE ALIMUITA MALAYA WA KISIASA,DHAMBI YA USALITI NYERERE ALIIFANANISHA NA KUONJA KULA NYAMA YA MTU..

MSALITI sio binadamu wa kwaida msaliti hana akili timamu hajielewi hana MSIMAMO haelewi wala hasimamii katika kile ANACHOKIAMINI na kile alichoaminiwa,MSALITI ANAJITOA UFAHAMU,anajizima data ,anajitoa akili,
MSALITI NI COWARD...
Msaliti hashindwi kumuuza hata mke wake au familia yake ..huyu YUDA
MSALITI ni MTU MBAYA SANA...hafai popote...MNAFIKI huyu msaliti ni mbaya sana,

KAA MBALI NA YUDA MSALITI..MSALITI HAFAI KABISAAAAA
Chadema wakimpokea nitawadharau sana na ntawaona hawajitambui, wala hawawezi kuongoza nchi kwa akili hizo
 
Jifunze siasa, chama cha siasa hakikatai mwanachama hata angeondoka na kurudi mara 10 ila hawezi tena kuipata nafasi ile aliyo iacha
Mm nijifunze siasa ili inisaidie nn?

Vp yale ya lowassa iliishia vp?
Bado hamjifunzi kutokana na makosa yenu mwnyw? Lowassa baada ya kukosa ulaji kupitia chadema akaamua kurudi ccm, kuelewa h n mpaka muwekwe darasani Au?

Ukishakuwa msaliti, daima n msaliti tuu.
 
Back
Top Bottom