Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Msigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
Mbowe ana zaidi ya mwaka toka ang'oke.... Ilikuwaje hakurudi mara tu baada ya Tundu Lissu kuchukua uongozi wa Chama ndio aje arudi leo?
 
Msigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
Akili huna ww
 
Kwenye siasa yafaa sana kuongea na kubakisha.
Wengine husema tuweke "akiba ya maneno" maana siasa hazitabiriki.
 
Ametumwa huyo....

"The best way to control the opposition is to lead it ourselves"
Vladimir Ilyich Lenin
1779580318048.png
 
Naona Lissu ataachiwa kabla ya mwisho wa mwezi wa 6. Ccm imekwisha yapanga majembe Yao yarudi cdm na waende kumthibiti huyo Lissu. Nafikiri huu ndio mpango wao, yaani kuhakikisha kwamba akiachiwa Huru hana madhara Tena Kwa ccm maana tayari virus wao watajua kupambana naye ndani kwa ndani huko chadema. Ni maoni yangu tu . Povu ruksa.
Hivi,kwa mawazo ya haraka, unaweza kumdhibiti Lissu katika lipi hasa?Kama kifo chenyewe kilimuacha aende zake,wewe utafanyaje?Hebu muulize Kikwete akupe muhtasari wa khabari.
 
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Hizo taratibu za CHADEMA zimekuruhusu kujitangaza mwenyewe kurudi ndani ya chama ulichokiasi?
Hiki kitakuwa ni chama au takataka?
Wewe ni nani hasa uwe mtu wa kujitangazia tu umerudi ndani ya chama?

Na unaporudi ndani ya chama hicho, unatafuta nini hasa huko ndani ya chama?
 
Naona CHADEMA ikiingia majaribuni kwa kasi, ingawa sina uhakika kama ni kwa kujitakia au?

Baada ya Selasini, sasa Msigwa nina imani kuna wengine wako njiani, huku ni kujiingiza majaribuni.

Wajiulize, wakibaki bila hawa wasio kuwa na msimamo, watapungukiwa nini? Au kuja kwao kutaongeza nin ambacho hakiwezi kufanyika bila wao?

Kwanini, hili wimbi liwe sasa? Chama kimejiridhisha vipi kuwa, hawa hawawezi kuwa chanzo cha migogoro?

Eti Selasini karudi CDM.... heri wenye vyama vyao. Hatujifunzi?
Kumbe Selasini nae alisharudi Chadema!.
 
Hivi,kwa mawazo ya haraka, unaweza kumdhibiti Lissu katika lipi hasa?Kama kifo chenye kilimuacha aende zake,wewe utafanyaje?Hebu muulize Kikwete akupe muhtasari wa khabari.
Ngoja nijaribu kujibu swali lako; pamoja na kwamba ni swali gumu.

Jibu ni :"Urafiki"?

Lissu ni mtu 'principled'. Mtu anayeamini jambo siyo rahisi kulichukulia kimakini.

Ni kwa hali hiyo alikwisha tangaza mwenyewe kuwa huyu mtu aliyejidhalilisha kiasi hiki sasa; kwamba anao urafiki naye.
jambo unaloweza kudhani wewe kuwa ni rahisi, linaweza kuwa gumu sana kwa Lissu kulipuuza.

Nisingependa huo urafiki uingilie kwenye maswala mazito kama haya ya uaminifu kwa chama, lakini hili litakuwa swala gumu kwangu kulikubali kama huyu mpuuzi atarudishwa ndani ya chama hicho kipuuzipuuzi hivi.
 
I can guarantee you all, Msigwa amerudi Chadema kwasababu teuzi ndani ya CCM ameona zinazidi kuchelewa.

Kama angeteuliwa mapema, leo angekuwa anatetea yale mauaji ya Okt. 29.
Wote sasa hata walioko CHAUMMA ni majuto tupu!
Samia ni tofauti sana na Magufuli.
 
Back
Top Bottom