CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mbowe yuko CCM kinyemela na ni kibaraka wa SamiaKomredi, kwani Mbowe hayuko tena CHADEMA?
Mbowe yuko CCM kinyemela na ni kibaraka wa SamiaKomredi, kwani Mbowe hayuko tena CHADEMA?
Mbowe yuko CCMKwahy Mbowe hayupo chadema, haya tuambie Yupo chama gani sasa hv
Alikaribishwa lini?Mbowe yuko CCM View attachment 3594270
Ujio wa peter msigwa umekuathiri vipi wewe kama mwanachama? Ameondoa wanachama? Amevunja chama? Au tatizo ni hisia binafsi?Huyu ni mnafiki. Nawashauri wasimpokee
KinyemelaAlikaribishwa lini?
Kazi ipo 😂Kinyemela
Msigwa anapaswa kudeki ofisi za CDM kanda zote kabla ya kufikiriwa kupokelewa kwenye chama hiki kitukufu.View attachment 3593736
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.
Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.
Soma Pia:
Asanteni Sana.
Nikiondoa maneno sita ya mwanzo kwenye mstari huo; sitashangaa sana kwa baadhi ya watetezi wa hawa malaya wa kisiasa wakipiga kelele Samia ajiunge ndani ya CHADEMA.Chadema hamjawahi kujitambua kwa makosa yenu, miaka ijayo samia atahamia chadema na mtaanza kumsifia vile vile
Kama walivyofanya kwa lowassa 😂Nikiondoa maneno sita ya mwanzo kwenye mstari huo; sitashangaa sana kwa baadhi ya watetezi wa hawa malaya wa kisiasa wakipiga kelele Samia ajiunge ndani ya CHADEMA.
Na utashangaa sana watakavyokuja na sababu za ajabu sana za kushawishi Samia akubaliwe CHADEMA.
Mkuu 'Mbaga', sijui kama umebadilika kiasi hiki kwa kadri ninavyokumbuka historia ya humu JF.N
Kama walivyofanya kwa lowassa 😂
Ukiona Mtu anaweza kumsaliti mzazi wake na kuja kwako rafiki yake, usidhani atashindwa kukusaliti ww rafiki.Mkuu 'Mbaga', sijui kama umebadilika kiasi hiki kwa kadri ninavyokumbuka historia ya humu JF.
Lakini ngoja nijiseme mwenyewe hapa, kama hukumbuki.
Ujio wa Lowasa CHADEMA wakati ule, binafsi niliuona tofauti kidogo na huu umalaya tunaouona umezagaa sana ndani ya siasa za nchi hii.
Binafsi niliunga mkono ujio huo; pamoja na kwamba sikujuwa ulianzia wapi.
Lengo lilikuwa matumaini ya kuiondoa CCM madarakani; na Lowassa alikuwa na mategemeo makubwa ya kufanya hivyo wakati ule.
Ni hivi kama bado huelewi: Yeyote ambaye angeweza kuwa na uwezo wa kuiondoa CCM madarakani ningemuunga mkono; hata hii leo, wewe ukisimama na kusema utaiondoa CCM madarakani, nitakuunga mkono, hata kama sijui unakwenda kufanya nini ukiwa huko kwenye madaraka.
Kwa hiyo, swala la ujio wa Lowassa ni tofauti sanba na hawa wafanya biashara mbovu; akina Msigwa.
Kwa mara ya kwanza, nimekusoma ukiwa umeandika kwa utulivu, na unastahili kujibiwa kwa utulivu vilevile.Ujio wa peter msigwa umekuathiri vipi wewe kama mwanachama? Ameondoa wanachama? Amevunja chama? Au tatizo ni hisia binafsi?
Kama mtu ana uwezo wa kuongeza ushawishi, kuongeza nguvu kwenye kampeni zinazoendelea, connection, mali na kuisaidia CHADEMA kufika kwa wananchi wengi zaidi, shida iko wapi?
Peter Msigwa siyo mwanachama wa kawaida kisiasa. Anaweza akatusaidia mambo mengi ya kimkati yaliyofanyika kabla na baada ya uchaguzi, ameshaijua system ya CCM, ameshajua propaganda zao, mbinu zao za kisiasa na namna wanavyocheza game ya ushawishi. Hayo mambo hayaonekani kwenye Facebook au Twitter lakini ndani ya siasa ni silaha kubwa sana
Kama kweli lengo ni kukijenga chama na kushindana kisiasa basi tunatakiwa kuangalia mtu ana value gani kwenye mapambano ya sasa tusiwe na visasi na emotions kwa wakati kama huu na tukianza kubeza kila aliyewahi kukosea hatutapata tunachotaka kukisikia kutoka kwake
Ninaelewa sana unachojaribu kueleza hapa.Ukiona Mtu anaweza kumsaliti mzazi wake na kuja kwako rafiki yake, usidhani atashindwa kukusaliti ww rafiki.
Sasa chadema wakadanganyika na maneno matamu ya lowassa kuwa wataiondoa ccm
Ndo alichofanya lowassa.
Our political dispensation has been reduced to such derogatory level?That is just human nature. Hakuna mtu ambaye hupoteza muda wake akimsifia ex-wife (ex-husband) wake au ex-girlfriend (ex-boyfriend) wake!
Angekuwa muungwana angejibu hili swali.Ingekuwa vipi kama mauaji ule umwagikaji damu ungekupatia cheo?
A search for angels in a sinners house is a futile exercise.Our political dispensation has been reduced to such derogatory level?
Lord have mercy upon us!
Sindio hapo 😄😄Heeeee 😅
Kwanini aende CDM, aende hata CHAUMA .
Imagine 🤣Vipi angepata uteuzi angerudi CHADEMA?! Kilichomfanya aondoke CHADEMA kimeshafanyiwa kazi?
Siasa za hivi ndo zilikatisha watu tamaa baada ya 2015..