Pre GE2025 Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amesema amelazimika kuondoka kwenye chama hicho kwa kuwa hakuwa tayari kushuhudia akiendelea kutumika, kwani kwa muda mrefu amekuwa akikosoa sera na mipango ya CCM na serikali wakati ndani ya chama chao (CHADEMA) mipango na Katiba havifuatwi
Kwahiyo angeshinda ile nafasi angeondoka au angevumilia kuendelea kutumika?

Kweli njaa mbaya. Nadhani atakuwa anajuta sana kukataa dau la mwendazake.
 
kwani kwa muda mrefu amekuwa akikosoa sera na mipango ya CCM na serikali wakati ndani ya chama chao (CHADEMA) mipango na Katiba havifuatwi

Ila wanasiasa bwana, kwa hiyo kahamia kwa wale aliokuwa anawakosoa
 
 

Attachments

  • IMG-20240717-WA0197.jpg
    153 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0199.jpg
    158.3 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0215.jpg
    48.8 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0217.jpg
    52.4 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0218.jpg
    63.6 KB · Views: 1
  • IMG-20240717-WA0219.jpg
    76.4 KB · Views: 1
  • IMG-20240718-WA0037.jpg
    48.9 KB · Views: 1
  • IMG-20240718-WA0038.jpg
    138.1 KB · Views: 1
Asante sana Upendo Peneza kwa kuwaumbua wara Rushwa na watumia Rushwa ambao wanatafuta madaraka Kwa gharama za Watanzania πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/fi0tEcjNqKU?si=-8auRkO-djYBxh-p
Msigwa na penyeza, tujibuni kwanza, Lisu alipigwa risasi na nani?
Uchaguzi wa, 2020 ulikuwaje? Na, wananeno gani kuhusu kauli ya nape,
Kingine, kwa nini mishipa inawatoka kuhusu, chadema, kwani kwanini hawaongelei Sera, za ccm, au, hawaishambulii ACT, CUF,
Njaa mbaya sana, huyu msigwa yupo radhi kuuza hata makario
 
Hivi Mwl Nyerere aliwaza nini kutumia neno malaya wa kisiasa!
Je mtu akiwa ni malaya wa kawaida alafu akaongezea umalaya wa kisiasa anaitwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…