Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo .Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Msigwa ndugu Yako wa hapo Juu Matamba 😄Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.
Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko
Na umri ndio unaenda hivyo ,nadhani anastahili kupatiwa washauri wazuriWenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.
Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko
Lema na Mdude wako kwa kundi gani mkuu ambao kimsingi ndio wasemaji wa chamaPunguwani wewe
Badala ya kuzeeka anakunja ndita na kuvimba mishipa bila faida Bora arudi ccm akazeekeee ubalozini huko walau falsafa zake zitumike kiasi.Na umri ndio unaenda hivyo ,nadhani anastahili kupatiwa washauri wazuri
Sio hadi kuwaombea vifo wanaotofautiana nao.Rejea kauli za binamu yake Mzee Mbowe ambae hivi majuzi tu aliwaombea mabaya wamiliki wa radio claudsHauna hoja zaidi ya kulaumu wapinzani kwani nyie ccm hamuwatukani na kuwakejeli wenzenu
Inasikitisha aisee🙆♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️Badala ya kuzeeka anakunja ndita na kuvimba mishipa bila faida Bora arudi ccm akazeekeee ubalozini huko walau falsafa zake zitumike kiasi.
Saizi ameshakuwa na ugonjwa wa akili baada ya kukata tamaa anatukana hovyo kama Lema 😆😆
Je,wewe unazo akili za kumzidi Mch.Msigwa?Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.
Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Ukiona mtu anatoka CHADEMA kwenda CCM jua huyo siyo mwanasiasa bali alifuata fursa ya kuchaguliwa kuwa Kiongozi ili ajipatie ukwasi kupitia madaraka.Mwanachadema halali ni yule anayetambua matatizo yake,ya familia nyingine na maisha ya Watanzania kwa ujumla.Mtu mwenye akili huwezi sifia malaya kama Halima anayeuza utu wake ili aendelee kulamba pesa za serikali bure.Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.
Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko
Ili awe mtumwa siyo?Na umri ndio unaenda hivyo ,nadhani anastahili kupatiwa washauri wazuri
Unashangaa nini wewe,unauza mwili wako kwa Ndugai ili uwe mbunge halafu unakuja na ngojera za kipumbavu.Ukiona mtu anatoka CHADEMA kwenda CCM jua huyo siyo mwanasiasa bali alifuata fursa ya kuchaguliwa kuwa Kiongozi ili ajipatie ukwasi kupitia madaraka.Mwanachadema halali ni yule anayetambua matatizo yake,ya familia nyingine na maisha ya Watanzania kwa ujumla.Mtu mwenye akili huwezi sifia malaya kama Halima anayeuza utu wake ili aendelee kulamba pesa za serikali bure.
Wale ndio punguwani sasa!!Lema na Mdude wako kwa kundi gani mkuu ambao kimsingi ndio wasemaji wa chama
Kuliko kuwa msukule wa mzee Mbowe ni bora kuwa mtumwaIli awe mtumwa siyo?
Halima unaweza mfananisha na mwanaume gani pale chadema kwa uwezo wa kujenga hoja? kama yupo ,leo hii nitachukua kadi ya cdmUkiona mtu anatoka CHADEMA kwenda CCM jua huyo siyo mwanasiasa bali alifuata fursa ya kuchaguliwa kuwa Kiongozi ili ajipatie ukwasi kupitia madaraka.Mwanachadema halali ni yule anayetambua matatizo yake,ya familia nyingine na maisha ya Watanzania kwa ujumla.Mtu mwenye akili huwezi sifia malaya kama Halima anayeuza utu wake ili aendelee kulamba pesa za serikali bure.