Peter Msigwa Hastahili kuwepo CHADEMA

Peter Msigwa Hastahili kuwepo CHADEMA

Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.

Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Msigwa ni TISS sijui kwanini CHADEMA wameshindwa kumbaini muda wote huo
 
Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.

Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
CDM wangekuwa hawajitabui, CCM isi gekuwa inakwenda huko kutafuta Mawaziri.
 
Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.

Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Mbona hizo zote ulizomsifia ni tabia za ovyo tu🤣😂
 
Kutaka kukufanya uwe mjakazi wake pale Iringa.
 
Halina ubishi ndio maana hata kiwango changu cha Elimu huenda ni mara dufu ya Msigwa ,achalia exposure niliyokunayo ambayo si ya kitoto hata kidogo
Wewe kupe unateseka ukiwa wapi?Wenye elimu hawahangaikagi na majungu,majungu ni ya watu wajinga kama wewe.
 
Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.

Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
We mwenyewe Kwa utumbo huu unatamanisha kutukanwa na kupigwa kabisa! Huna hoja unalalamika hovyo kama mke mdogo
 
Kwa makupe Halima ni mbunge lakini kwa Watanzania Halima siyo mbunge.
Hivi yule mbunge wa chadema kwa viti maalumu ambae ni mke wa naobu katibu bara nae hakupata barakq za chame ehe
 
We mwenyewe Kwa utumbo huu unatamanisha kutukanwa na kupigwa kabisa! Huna hoja unalalamika hovyo kama mke mdogo
Unaamini sana ulikotokea ,naamini wewe ni bingwa jitahidi kwa kadri uwezavyo urejee huko kama aliekuleta bado yuko hai mkuu ,ingependeza saaana
 
Na iwe kwako,wazazi wako na ukoo wako woote kwanza!
 
Back
Top Bottom