WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Sindano gani hiyo ya ukichaa?Kumbe kuropoka ni sifa ehe?sindano imengia mahali pake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sindano gani hiyo ya ukichaa?Kumbe kuropoka ni sifa ehe?sindano imengia mahali pake
Sio kichaa kama Lema na MdudeSindano gani hiyo ya ukichaa?
Yaaani kumbe hata wanaomtetea Lema ni vichaa kuliko Lema aiseeHivi ulipata taarifa Lema anatoka na mamako nini arifu!
Acha kutoa mapovu kama Lema ,usijitoe ufahamu mtoto wa kiume wewe.Hivi ulipata taarifa Lema anatoka na mamako nini arifu!
Fanya yako usifuatilie maisha ya mtu.Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.
Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko
Kama Molel anajitambua basi Watanzania wote ni Mbumbumbu.Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.
Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko