Peter Msigwa Hastahili kuwepo CHADEMA

Hana akili huyo. Aje chadema akili kubwa aone Raha.
Jaribu kuwa serious ,hiki chama kwa haraka tu elimu za wasemaji wakuu ,naombeni wenyewe mjaze:
1: Mzee Freeman Mbowe
2: Godbles Lema
3:Mdude chadema
 
Jaribu kuwa serious ,hiki chama kwa haraka tu elimu za wasemaji wakuu ,naombeni wenyewe mjaze:
1: Mzee Freeman Mbowe
2: Godbles Lema
3:Mdude chadema
Umesahau huko kwenu Kuna ustaadh alifeli Hadi uraia na Sasa Ni muheshimiwa.
Umesahau Kuna yule mwingine aliyefutiwa matokeo ya fomfoo na Sasa Ni muheshimiwa Sana na anaandaliwa kua mpangaji pale Magogoni.
Mouth piece yenu a.k.a Bashite ana elmu gani?
 
Halina ubishi ndio maana hata kiwango changu cha Elimu huenda ni mara dufu ya Msigwa ,achalia exposure niliyokunayo ambayo si ya kitoto hata kidogo

Wewe punguani hivyo ndiyo uwe na elimu kubwa? Kwa unavyoandika humu, sidhani kama una elimu ya kuzidi certificate ya Form 4. Na yenyewe itakuwa ni ile tu ya kukaa miaka minne, siyo ya performance.
 
Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.

Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko
Huna uwezo wa kuelewa, mdee anatokaje kwenye saccos ya wachaga wenzake?
 
Jaribu kuwa serious ,hiki chama kwa haraka tu elimu za wasemaji wakuu ,naombeni wenyewe mjaze:
1: Mzee Freeman Mbowe
2: Godbles Lema
3:Mdude chadema

Hivi hao wanatofautiana vipi na elimu ya Mh. Rais wetu? Kama elimu ni kigezo, basi marais wote wangekuwa maprofesa, maana hakuna Taifa lisilo na maprofesa.

Watu ambao walithibitika kuwa na akili kubwa kuzidi wanadamu wote, wa kwanza ni Myahudi Albert Einstein, wa pili ni Sir Isack Newton, wa tatu ni Galileo Galilei. Wote, hakuna aliyewahi kuwa Rais, waziri au mbunge. Na hakuna aliyewahi hata kuchukua fomu kugombea cheo chochote.

Vyeo vya kupigiwa kura au kuteuliwa, kiuhalisia ni vya average brain. Super intelligents hawahangaiki na mambo ya kupigiwa kura.
 
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .

Aina hiyo ni inaonesha wanachama wa CHADEMA wanaongea vitu wanavyoamini toka mioyoni mwao na ndiyo inavyosikika na kugusa wana CCM pia umma mkubwa wanaoamini katika nguvu ya umma.

View: https://m.youtube.com/watch?v=p_SGJ0DNNaM Tofauti na wasoma ilani na matamko wasiyoyaamini hata kidogo na kukosa mguso mioyoni mwao yaliyotaarishwa kutoka ofisi ndogo ya CCM mtaa wa Lumumba DSM au Afisi kuu Kisiwandui Z' bar na kule Dodoma.
 
FUATILIA SIASA ZA CHAMA CHAKO PILIPILI ZA CHADEMA ZINAKUASHIA NINI?
 
Wewe punguani hivyo ndiyo uwe na elimu kubwa? Kwa unavyoandika humu, sidhani kama una elimu ya kuzidi certificate ya Form 4. Na yenyewe itakuwa ni ile tu ya kukaa miaka minne, siyo ya performance.
Ni mawazo yako mkuu,laiti ungejua
 
Mkuu acha kujidanganya ,elimu ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule ,hivi unafikiri mzee Mbowe angekuwa na elimu sahihi angekuwa anaongea kwa kufoka na huku mate yanamtoka mdomoni?unadhani Lema angekuwa na elimu sahihi angekuwa anaombea watu wafe?
 
mchungaji ana beti huyo dah 🐒
 
Mkuu acha kujidanganya ,elimu ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule ,hivi unafikiri mzee Mbowe angekuwa na elimu sahihi angekuwa anaongea kwa kufoka na huku mate yanamtoka mdomoni?unadhani Lema angekuwa na elimu sahihi angekuwa anaombea watu wafe?
Una laana wewe, Mbowe ana degree tena kasoma Uingereza ambako ukoo wenu wote hakuna aliyewahi kufika, anakutana na mabolozi wakubwa duniani wewe hujawahi hata kukutana na DAS.
 
Well said
 
Kwa vigezo hivyo, yule ni mchungaji au mganga njaa makanisani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…