The Whistleblower
JF-Expert Member
- Dec 9, 2022
- 247
- 434
Msigwa ni TISS sijui kwanini CHADEMA wameshindwa kumbaini muda wote huoNdugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.
Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Hivi Mollel naye ana akili...!? Basi hii nchi itakuwa na viongozi wengi wajinga.Wenzake wanaojitambua walishatoka huko kwenye hiyo saccos ya wachaga eg Silinde,Dk Mollel ,kina Halima nk.
Sasa yeye ngoja aendelee kupiga miayo huko
CDM wangekuwa hawajitabui, CCM isi gekuwa inakwenda huko kutafuta Mawaziri.Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.
Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Mbona hizo zote ulizomsifia ni tabia za ovyo tu🤣😂Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.
Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Ni lini wewe ulikoma kuwa mjinga?Hivi Mollel naye ana akili...!? Basi hii nchi itakuwa na viongozi wengi wajinga.
Ni watanzani ,yoyote anaeonekana anafaa kuna ubaya gani ?CDM wangekuwa hawajitabui, CCM isi gekuwa inakwenda huko kutafuta Mawaziri.
Mkuu ndio hali halisiMbona hizo zote ulizomsifia ni tabia za ovyo tu🤣😂
Ni lini wewe ulikoma kuwa mjinga?
Wewe ni mjinga ila hujajijuaNilipojua kuwa kuna mjinga kama wewe.
Wewe ni mjinga ila hujajijua
Kutaka kukufanya uwe mjakazi wake pale Iringa.Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.
Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Kupe kwa ubora wako.Kuliko kuwa msukule wa mzee Mbowe ni bora kuwa mtumwa
Kwa makupe Halima ni mbunge lakini kwa Watanzania Halima siyo mbunge.Halima unaweza mfananisha na mwanaume gani pale chadema kwa uwezo wa kujenga hoja? kama yupo ,leo hii nitachukua kadi ya cdm
Wewe kupe unateseka ukiwa wapi?Wenye elimu hawahangaikagi na majungu,majungu ni ya watu wajinga kama wewe.Halina ubishi ndio maana hata kiwango changu cha Elimu huenda ni mara dufu ya Msigwa ,achalia exposure niliyokunayo ambayo si ya kitoto hata kidogo
Kumbe kuropoka ni sifa ehe?sindano imengia mahali pakeWewe kupe unateseka ukiwa wapi?Wenye elimu hawahangaikagi na majungu,majungu ni ya watu wajinga kama wewe.
We mwenyewe Kwa utumbo huu unatamanisha kutukanwa na kupigwa kabisa! Huna hoja unalalamika hovyo kama mke mdogoNdugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo.
Mchungaji Msigwa ni mmoja ya wanachama wachache saana walioko chadema mwenye kuweza kuongea na kutoa maono yenye maana pamoja na ukweli ya kwamba ameiga baadhi ya tabia za wanachama,ambazo ni,
1:Kuongea kwa jazba na kufoka,
2: Kulalamika bila kutoa njia mmbadala
3:Kukurupuka na kuandika kwenye mitandao lugha za matusi
4:Kulaani wenzao wafe
Mnaweza kuongezea .
Hivi yule mbunge wa chadema kwa viti maalumu ambae ni mke wa naobu katibu bara nae hakupata barakq za chame eheKwa makupe Halima ni mbunge lakini kwa Watanzania Halima siyo mbunge.
Unaamini sana ulikotokea ,naamini wewe ni bingwa jitahidi kwa kadri uwezavyo urejee huko kama aliekuleta bado yuko hai mkuu ,ingependeza saaanaWe mwenyewe Kwa utumbo huu unatamanisha kutukanwa na kupigwa kabisa! Huna hoja unalalamika hovyo kama mke mdogo
Na iwe kwako,wazazi wako na ukoo wako woote kwanza!Unaamini sana ulikotokea ,naamini wewe ni bingwa jitahidi kwa kadri uwezavyo urejee huko kama aliekuleta bado yuko hai mkuu ,ingependeza saaana
Hivi ulipata taarifa Lema anatoka na mamako nini arifu!Lema na Mdude wako kwa kundi gani mkuu ambao kimsingi ndio wasemaji wa chama