Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

Ukweli unaweza usimfurahishe kila mtui, lakini kwa uhakika uongozi wa awamu ya 5 ulikosa civilization.
 
Kwa maana hiyo wale walio sema kwamba alikuwa "mshamba" walikuwa sahihi kumbe.
 
Ahsante Rev.Hon.Peter Msigwa,umeongea yote kwa kina kama ilivyo kweli.Mwendazake alikuwa Old Fashioned Modern World Ruler,kinachoniumiza ni jinsi alivyokuwa na waungaji mkono wengi.Hii inadhihirisha namna Hali ya Wananchi wengi ilivyo mbaya,hawana elimu ya uraia na hawafahamu Haki zao.
Umuhimu wa Katiba ya Wananchi unadhihirika wazi kuepusha kina Kinjekitile wa karne ya 21.Pia suala la elimu ya uraia kwa watu wote ni la msingi sana.Badala ya kuingiza somo la Historia kuanzia Chekecheaa hadi kidato cha sita tuingize elimu ya uraia.
 
Mungu mkubwa, kweli Msigwa wewe umesahau ulivyolipiwa faini na JPM na leo hii unaanza kumdhihaki inshaallah Mungu atatenda.
Acha UPUMBAVU wewe, kwani alishindwa kutoa amri ya kuachiwa huru hadi atoe hela na kupiga nazo picha selfie? Ule ulikuwa unafiki wa kiwango cha sgr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…