Tatizo la Msigwa ni madaraka wala hana kingine...Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
..amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
..inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
..kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20
View attachment 3031046
Umeamka naye dadeki 😀
Ukisharudisha dau na Udc utampa wewe?..wanamdhalilisha Msigwa.
..huyu anahitaji kukombolewa.
..Nitaanzisha mchango wa kumkomboa kumsaidia arudishe dau alilolipwa.
Msigwa amenaswa kama ilivyokuwa Kwa Mtikila na Mzee Mkinga rip..wanamdhalilisha Msigwa.
..huyu anahitaji kukombolewa.
..Nitaanzisha mchango wa kumkomboa kumsaidia arudishe dau alilolipwa.
Ukisharudisha dau na Udc utampa wewe?
Ngoja tuone 🐼Huyu kisiasa kashapotea
Kwamba Msigwa ni mateka wa CCM na handler wake ni Makala? 😅..wanamdhalilisha Msigwa.
..huyu anahitaji kukombolewa.
..Nitaanzisha mchango wa kumkomboa kumsaidia arudishe dau alilolipwa.
Kwa sasa yupo kozi Chini ya DC Mstaafu Kasesela..huyu hatapewa hata U-DC.
..baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa wataachana naye.
Kwamba Msigwa ni mateka wa CCM na handler wake ni Makala? 😅
Ni rahisi zaidi kumeuelewa Msigwa kwa kukubaliana na maamuzi yake, ni yeye pekee anayejua kwanini ameamua hivyo.
Kwa sasa yupo kozi Chini ya DC Mstaafu Kasesela
Umesahau huyu faini alilipiwa na Magufuli?..huyu hatapewa hata U-DC.
..baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa wataachana naye.
Umesahau huyu faini alilipiwa na Magufuli?
Ccm wamejaa mazezeta kama Lucas Mashambwa, halafu hao Madc wenyewe ni kina Magoti sina shaka kwa Msigwa kupewa Udc.
Yawezekana ndoano aliyomeza sio pesa pekee...ndio nasema tumchangie arudishe fedha alizopewa ili awe huru.
Husimlie yamini binaadam mwenye pumzi...Msigwa sio mtu wa kudhalilishwa namna hii.
Kwamba ilitumika mikono yao na sio yake kuvaa sare za CCM sidhani Kama ina Ukweli wowote...aliingia ktk kikao kavaa suti, wakamvua wakamvalisha shati na kofia ya mboga-mboga.
Ninachoona hapa, kama ambavyo Makalla yuko kazini ndivyo na Msigwa nae yupo kazini...baadae Makala anampangia hata cha kusema?!!