Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Nawashauri CHADEMA watengeneze clip ya hiki kinachofanyika hapa ili wananchi wengine tujue namna waunga juhudi wanavyofundishwa cha kusema!Ama kweli Msigwa kaamua kujitia dole mwenyewe, Msigwa huyu aliyekuwa anaongea kwa kujiamini bungeni na bunge lote linakuwa kimya kumsikiliza kwa madini anayotema leo hii anafundishwa cha kusema na huyu kifutu Makalla. Amejidhalilisha sana yeye binafsi na familia yake. Msigwa akiwa kwenye ufahamu wake halisi anamzidi mara 100 huyu kifutu Makalla kwa uwezo wa kuongea na kujenga hoja.