econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Huyo kashanunuliwa Hana jipya. CHADEMA hakuna mambo ya familia. Mtoto wa Mbowe alipigwa Chini kwenye kura za maoni Jimbo la Moshi Mjini 2020.Utawala mbovu alioupenda Msigwa, kawacha utawala mzuri wa kifamilia chadema, au siyo?