Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu atakuwa ameanza kujuta ila basi hana tena la kufanya .
Ukinunua shati jipya wewe ndiye utapanga ulivae siku ya Idd au pasaka
kwani kalazimishwa kwenda ccm? kaenda mwenyewe kwa akili zake timamu anakosaje uhuru ?? IMEWAUMA SANAAAAAAAAA ErythrocytePeter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
Uongo hupi huo,wote tulikuwepo 2015 wengi walishauli Mbowe kuhusu nia yake ya kubadilisha gia angani kuwa ndio mwisho wa chadema hakashupaza shingo,haya unayoyaona yalitabiriwa toka enzi hizo naona Wewe ni kijana wa 2000,tafuta nyuzi za 2015 wakati Mbowe anampokea Lowassa,angalia maoni ya wadau na hotuba ya Dk Slaa Serena hotel.Kama ulishahama si utulie. Mambo ya kurudia uongo sio vizuri.
Angeshinda yeye wala huu utopolo wake usingesikikaMaisha hayataki democracy wala hayaruhusu hicho kitu.
Angekua na hoja zaidi endapo haya maamuzi angeyafanya kabla ya uchaguzi wa ndani wa CDM, vinginevyo ni msaka tonge kama wengine wote.
Bahati mbaya ni kuwa alichofanya na maamuzi aliyochukua ndiyo kazi yake rasmi, mwanasiasa kazini.Angeshinda yeye wala huu utopolo wake usingesikika
Yaani wanadamu huwa hatuna maonoPeter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
semeni ukweli kwamba mbowe ameharibu chama, aachiwe chama awe peke yake na ndugu zake.Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
Wampepo hata ukuu wa Wilaya, jamaniTatizo la Msigwa ni madaraka wala hana kingine.
Msigwa amekosewa na Sugu kumng'owa uenyekiti kanda ya Nyasa...baada ya kutafakari nimeona Msigwa anastahili ushauri nasaha, kuliko lawama na shutuma.
..inawezekana ni kweli amekosewa na viongozi wenzake, lakini hatua alizochukua zinakwenda kumharibia zaidi.
..watafutwe wazee wenye heshima wakamsuluhishe Peter Msigwa na viongozi wenzake ktk chama.
NB:
..kuna mtu alisema Chadema hakuna wazee nadhani hakukosea kusema hivyo.
Rushwa haijawahi kumuacha mtu huruPeter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
Mzee amechanganyikiwa fullMaslahi kwanza, mengineyo baadaye
Amesahau kuwa Chadema ndiyo iliyo mshape hadi CCM ikamtamani, mbona hawakumchukua kipindi hiki anauza mitumba alivyokuwa amepauka kama mpira wa makaratasi?Msigwa amekosewa na Sugu kumng'owa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Anataka demokrasia ipi zaidi ya hiyo? Ni wapi ameandikiwa lazima awe na madaraka?
Picha inaongea mengi.
View attachment 3032365
Angalia hapa kama ametafuna mbilimbiMzee amechanganyikiwa full