Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wajifunze kitu ukitoka Chadema kwenda CCM unapoteza umaarufu kabisa sana sana ukienda ccm fuata mlo tu fullstop.Wote waliohamia kule wanabugia matonge tu kimya kimya soon na yeye Msigwa atanyamaza kimya aendelee kula kupitia madaraka atakayopewa vinginevyo siasa za kisikilizwa na wananchi ziko chadema ila hazina mlo ni kavu mno zinataka roho ngumu na hiyo ndiyo changamoto.Chadema kufa ni vigumu sana. Mtu akitoka Chadema kwenda ccm automatically anakuwa amepotea kisiasa. Wananchi Sio wajinga 🤔
Msigwa anatakiwa awe RC au RASUkisharudisha dau na Udc utampa wewe?
Kuingia amevaa suit ilikuwa ni ujumbe kwamba yupo kule kimaslahi, ila misingi na itikadi zake ni zilezile na no one to boss him there...ndio nasema tumchangie arudishe fedha alizopewa ili awe huru.
..Msigwa sio mtu wa kudhalilishwa namna hii.
..aliingia ktk kikao kavaa suti, wakamvua wakamvalisha shati na kofia ya mboga-mboga.
..baadae Makala anampangia hata cha kusema?!!
ukichukua b za watu lazima uvuliwe mkoti si wamekununua huna jinsi babaYaani msigwa hata anapoongea unaona kabisa hana mpangilio wa hoja amepaniki anahitaji pschotherapy huyu hebu tazama alipoingia alivyokuwa kapendeza wakamvuka tshet ambayo ukiitazama kwa jicho la tatu imeshusha kabisa uwezo wake wa kujenga hoja .
Hebu fikiria chama ulichokinanga zaidi ya miaka 20 hadharani kwa hoja mujarabu leo unatakiwa ukisifie mbele za watu ghafla tena baada ya kuvuliwa nguo ulizovaa na wakakuvalisha halafu anaekupa cha kusema unamfaham kuwa umemzidi uelewa mara 3000! Sasa huyo kifutu uwezo wake ukiufananisha na msigwa mie kwa uelewa wangu vifutu 3000= msigwa 1
Mkuu hv Mkinga alifariki?Msigwa amenaswa kama ilivyokuwa Kwa Mtikila na Mzee Mkinga rip
Usicheze na CCM ya Aziz 😂🔥
Siasa za wanasiasa na ndio kazi yao...siasa gani wanafanya?
Basi anajidhalilisha mwenyewe na sio tofauti. Amechagua tayari...huu ni udhalilishaji tu.
Kiumbe binaadam chenye pumzi huwezi kuapa kukifahamu, mabadiliko ni sehemu ya uumbwaji wake...Msigwa tunayemjua na machachari yake ni mtu wa kuamrishwa na kupangiwa nini aseme, tena mbele ya vyombo vya habari?
Ingekua rahisi Kama “watanzania wangekua ni material tofauti na wanasiasa wao, vinginevyo unapambana na upepo...ifike mahali Watanzania tukatae siasa hizi za hovyo.
Nafikiri kabla yake kuna waliomtangulia je hawakuwa na fikra kama zake!..CCM hakuna uhuru wa mawazo na kujieleza.
..misimamo ya Msigwa ni utawala wa majimbo, serikali ya Tanganyika, Tume Huru, na Katiba Mpya.
..usipomsikia Msigwa akidai hayo jua yuko compromised.
..siasa gani wanafanya?
..huu ni udhalilishaji tu.
..Msigwa tunayemjua na machachari yake ni mtu wa kuamrishwa na kupangiwa nini aseme, tena mbele ya vyombo vya habari?
..ifike mahali Watanzania tukatae siasa hizi za hovyo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=1kLJ_3cJGxE
Kweli huyu anapangiwaPeter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
Atapewa ubunge wa viti maalum na rais ili ampe uwaziri maliasili🤣🤣🤣Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
Huyu jamaa ni Meme' tosha.😂😂
Nimecheka kama mazuriPeter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.
Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.
Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.
angalia video hapa chini.
Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3031046
ACT, CUF , NCCR na chadema vyote vinaitwa vyama vya upinzani. hoja ya dada Faiza ni kwamba Kitila Mkumbo na wengine wengi walitoka vyama vya upinzani na kuhamia CCM kama alivyofanya Peter Msigwa.Nikusaidie dada yangu, Kitila Mkumbo alihamia CCM akitokea ACT. Naweka kumbukumbu sawa.
Sijajua Yuda alifanya Nini baada ya usaliti, anyway tumuombee yasije kumkuta huyu mchungaji uchwara..wanamdhalilisha Msigwa.
..huyu anahitaji kukombolewa.
..Nitaanzisha mchango wa kumkomboa kumsaidia arudishe dau alilolipwa.
Katibu Mkuu Taifa chadema alipewa uDC itakuja kuwa Msigwa aliyeshindwa.Msigwa anatakiwa awe RC au RAS
u DC ni cheo kidogo kwa Msigwa.
Mkinga alifariki lini?Msigwa amenaswa kama ilivyokuwa Kwa Mtikila na Mzee Mkinga rip
Usicheze na CCM ya Aziz 😂🔥
Msigwa ana hoja kuliko wanaopingana naeKwamba Msigwa ni mateka wa CCM na handler wake ni Makala? 😅
Ni rahisi zaidi kumeuelewa Msigwa kwa kukubaliana na maamuzi yake, ni yeye pekee anayejua kwanini ameamua hivyo.