Pre GE2025 Peter Msigwa hayuko huru, anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Ushahidi wa video huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mwana saccos atawasumbua sana. Alikuwa jikoni, mlipanga nae mishe zote atawavua kila kitu.
 
..Msigwa alipaswa kwenda chama kingine cha upinzani.

..sio kwenda CCM na kuvalishwa mashati ya mboga-mboga na kupangiwa nini cha kusema.

..hata Mbowe anayemshutumu hakuwahi kumdhalilisha Msigwa kama alivyofanya Amos Makala.
 
Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.

Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.

Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.

Kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20

Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

View attachment 3031046
Wacha tuone kama ataendelea kuandikiwa kule chadema hakuna muongozo ni mirembe ward ya vichaa kila mmoja anaropoka ndio maana huwezi kuta mtu mzima kapunguza ukali wa maneno badala ya kusema kinyesi anasema mavi!
 
Ninachoona hapa, kama ambavyo Makalla yuko kazini ndivyo na Msigwa nae yupo kazini.

Wanasiasa wawili wakifanya kazi yao ya Siasa, hadharani.

..siasa gani wanafanya?

..huu ni udhalilishaji tu.

..Msigwa tunayemjua na machachari yake ni mtu wa kuamrishwa na kupangiwa nini aseme, tena mbele ya vyombo vya habari?

..ifike mahali Watanzania tukatae siasa hizi za hovyo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=1kLJ_3cJGxE
 
Chadema kufa ni vigumu sana. Mtu akitoka Chadema kwenda ccm automatically anakuwa amepotea kisiasa. Wananchi Sio wajinga 🤔
 
Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.

Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.

Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.

Kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20

Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

View attachment 3031046
Yaani kuonyeshwa Jambo ndiyo Kupangiwa nini cha Kusema? Nadhani CHADEMA ingejikita katika Kujitafakari kuliko Kujitetea huku kwa Kitoto kuwa Msigwa anapangiwa cha Kusema na Makalla / CCM.

Madai ya Msigwa yana Ukweli kwa 85% japo CHADEMA mtajificha katika Kichaka cha Kusema mabaya au mapungufu ya CCM ambayo imeshajipanga Kuongoza milele Tanzania kwa gharama za Ubovu wenu Vyama vya Upinzani nchini Tanzania.
 
..Chadema sio malaika lakini huwezi kusema kuna dhuluma na ufisadi kuliko CCM.

..Madhara ya siasa za CCM ni huu umasikini wa Watanzania unaozidi kuongezeka siku hadi siku.

..Vijana wetu watashindana vipi na vijana toka Kenya, Uganda, Rwanda, kwa aina hii ya uongozi toka CCM?
 
"Uwenyekiti anataka yeye maisha".

Tubishe hilo kwanza.

..chaguzi nyingi Mbowe amekuwa na washindani ktk nafasi ya Mwenyekiti.

..mbona CCM mnataka Samia apite bila kupingwa kwenye kupeperusha bendera ya CCM ktk Uraisi wa Jamhuri?

..Je, hiyo ndiyo demokrasia aliyomvutia Msigwa mpaka akahamia CCM?
 
Wacha tuone kama ataendelea kuandikiwa kule chadema hakuna muongozo ni mirembe ward ya vichaa kila mmoja anaropoka ndio maana huwezi kuta mtu mzima kapunguza ukali wa maneno badala ya kusema kinyesi anasema mavi!

..CCM hakuna uhuru wa mawazo na kujieleza.

..misimamo ya Msigwa ni utawala wa majimbo, serikali ya Tanganyika, Tume Huru, na Katiba Mpya.

..usipomsikia Msigwa akidai hayo jua yuko compromised.
 
Ila
..ndio nasema tumchangie arudishe fedha alizopewa ili awe huru.

..Msigwa sio mtu wa kudhalilishwa namna hii.

..aliingia ktk kikao kavaa suti, wakamvua wakamvalisha shati na kofia ya mboga-mboga.

..baadae Makala anampangia hata cha kusema?!!
Ila wahehe wenzake watamnyoosha!
 
Peter Msigwa hayuko huru huko alikokwenda.

Amefungwa remote, na anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala.

Inaelekea Msigwa alikaririshwa, lakini katikakati ya press conference ikaonekana amesahau, Makala akampa makaratasi asome.

Kwenye video angalia kuanzia dakika 4:20

Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

View attachment 3031046
Mbona aibu hivyo aisee! Yaani yamesahau hata kama yanarekodiwa!
 
Back
Top Bottom