Pre GE2025 Peter Msigwa hayuko huru, anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Ushahidi wa video huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukisharudisha dau na Udc utampa wewe?
Wakimpa uDC na sisi tunaohangaika na chama tunakesha tunateseka na elimu yetu tunayo watuache tunaishia kupiga makofi, watajua nguvu yetu ya mdomoni na kwenye box la kura. Hatukubali.
 
Huyu mwana saccos atawasumbua sana. Alikuwa jikoni, mlipanga nae mishe zote atawavua kila kitu.
Hana nguvu hiyo. Mbona maovu aliyokuwa anasema yako CCM kayafuata. Kachemka! Mwache abebeshwe picha mpaka basi. Kasaini mikataba wa kudhalilisha nafasi yake! Na kama kaenda huko Kwa hasira za kukosa cheo Chadema, yaani usajiri bila malipo imekula kwake, bora awe kalamba posho. Ataaibishwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…