Pre GE2025 Peter Msigwa: Mbowe kunitaka nilipe Tsh bilioni 5 ni kuiua siasa na kushuka kisiasa kulikopitiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mhe. Msigwa wewe unazo ngapi hapo ulipo ili nione nitakuongezea ngapi tulimalize nje ya mahakama.
 
Baba ndubwi kayatimba

Alizoea kupasha watu sasa kakutana na mlachake
 
Licha ya siasa wao ni watu wazima. Lazima wawe na mipaka, kushambulia kiongozi wa ccm au upinzani personally siyo vizuri.
 
Sasa ndugu Msigwa analia nini?

Anaamini siasa ni uongo uongo na kutuhumu watu bila ushahidi wowote?
Ameanza kulialiašŸ˜†šŸ˜ aombe radhi haraka kama ni UONGO au alipe fidia.
 
Hakuna sheria inaruhusu kumsemea mwenzio uongo kisa siasa. Mh Membe alimshitaki aliyemsemea uongo na mahakama ikaamua hata la Msigwa mahakama iamue ili iwe fundisho kwa wasema uongo kwa wengine.
 
Hakuna sheria inaruhusu kumsemea mwenzio uongo kisa siasa. Mh Membe alimshitaki aliyemsemea uongo na mahakama ikaamua hata la Msigwa mahakama iamue ili iwe fundisho kwa wasema uongo kwa wengine.
Baba ndubwi kutwa kucha kusema mh rais kauza nchi…

Acha ayanywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…