Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kajibu nini hapo. Hapo anachotakiwa ni kuomba radhi na kulipa bilioni 5.Hajalalamika… amejibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajibu nini hapo. Hapo anachotakiwa ni kuomba radhi na kulipa bilioni 5.Hajalalamika… amejibu
Jasiri h
astafite huruma wakutane mahakamaniMsigwa anahoja,, chadema imjibu
Haombwi Mtu radhi…. Mropokaji kapata match yake anakimbilia mahakamani?Kajibu nini hapo. Hapo anachotakiwa ni kuomba radhi na kulipa bilioni 5.
Asipoomba radhi watakutana mahakamani. Labda ipigwe simu mahakamani kama alivyosema Rostam Aziz.Haombwi Mtu radhi…. Mropokaji kapata match yake anakimbilia mahakamani?
Acha ale miguu yake
Sasa analialia nini si aende akathibitisha huko mahakamani madai yake?Mchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae kulipa faini ya Tsh bilioni 5, amesema haya
“Naichukulia hii kama kushuka kisiasa kulikopitiliza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, kwa sababu kunidai bilioni 5 ninapofanya shughuli za kisiasa kwanza ni kuiua demokrasia yenyewe ya nchi ambayo pamoja na mapungufu yaliyokuwepo kwenye demokrasia ya nchi lakini bado wanasiasa wengi hasa wa upinzani wametumia uhuru wao wa kuipa changamoto serikali iliyopo madarakani kwa kuishutumu shutuma ambazo kimsingi nyingi hazina uthibitisho, kwamba serikali hii ni ya kifisadi, serikali hii ni ya wezi, serikali hii haileti maendeleo na hivi karibuni hata yeye mwenyewe amediriki kumuambia Mheshimiwa Rais kuwa yeye ni Mzanzibari, ameiuza bandari, hizi ndizo changamoto za kisiasa"
"Sasa mimi niliuliza maswali ya msingi kwa CHADEMA na maswali niliyouliza ni kwamba CHADEMA Digital siyo mali ya CHADEMA, nilitegemea mtu ambaye ana weledi, mtu ambaye anaongoza chama anataka kuchukua nchi ni jambo dogo tu la kusema Msigwa ni muongo, CHADEMA Digital ni mali ya CHADEMA, ikajulikana hadharani. Nilihoji kuwa Mbowe amekuwa akitumia msafara wa magari mengi, mwenzake anaenda na gari moja, alitakiwa aseme tu ni muongo Msigwa, mwenzangu anatumia magari matano au saba, ingelikuwa yameisha. Kwa hiyo masuala yote ambayo ameyaeleza ya kwamba mimi nimemvunjia heshima ni masuala ya kisiasa kwa hiyo nimesikitika kwamba anawezaje kuwa chini kwa kiwango hicho"
Pia soma
Mchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae kulipa faini ya Tsh bilioni 5, amesema haya

Lile rungu la Cyprian Musiba kwa Bernard Membe limemlamba Msigwa,Hasara za kuropoka ovyo
Kuna kesi nyingi kule za baba ndubwi…. Ziliachwa tuAsipoomba radhi watakutana mahakamani. Labda ipigwe simu mahakamani kama alivyosema Rostam Aziz.
Kesi gani... washamba ndiyo wanaishi kwa kuwindana. Halafu Mbowe ni wa hadhi nyingine.Kuna kesi nyingi kule za baba ndubwi…. Ziliachwa tu
Aguse anuke
Kutukana Wenzako ndio Demokrasia?😂Msigwa anahoja,, chadema imjibu
Ataipeleka mahakamani hoja yake + ushahidi na kisha atajibiwa...Msigwa anahoja,, chadema imjibu
Siku hizi nawe humpendi Mbowe?Kuna kesi nyingi kule za baba ndubwi…. Ziliachwa tu
Aguse anuke
Kwani nani kamzuia Abdul kushtaki? Kama kamsingizia kuwa alikwenda kumuhonga itajulikana na kama ni kweli Lissu atatoa ushahidi.Naungana naye, maana kwa hili mtasikia na abdul kaenda kumshitaki lissu. Kwa hili naungana na msigwa japo simkubali.
Lipa kwwanza ndipo uanze blabla“Naichukulia hii kama kushuka kisiasa kulikopitiliza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, kwa sababu kunidai bilioni 5 ninapofanya shughuli za kisiasa kwanza ni kuiua demokrasia yenyewe ya nchi ambayo pamoja na mapungufu yaliyokuwepo kwenye demokrasia ya nchi lakini bado wanasiasa wengi hasa wa upinzani wametumia uhuru wao wa kuipa changamoto serikali iliyopo madarakani kwa kuishutumu shutuma ambazo kimsingi nyingi hazina uthibitisho, kwamba serikali hii ni ya kifisadi, serikali hii ni ya wezi, serikali hii haileti maendeleo na hivi karibuni hata yeye mwenyewe amediriki kumuambia Mheshimiwa Rais kuwa yeye ni Mzanzibari, ameiuza bandari, hizi ndizo changamoto za kisiasa"