Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau.
Naomba kazi hata ya kujitolea nipatw angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda directly kuomba kazi na kupereka Cv narudishwa punde tu nikifika mapokezi, naambiwa nafasi hazipo hapa.
Mimi ni fresh graduate..
Nina degree ya Business IT.
Naweza kufanya kazi za database administration, business analysis, Business Intelligence, Business Process management, customer relationship management..
Pia nipo tayari kufanya kazi yoyote nitakayopewa na kampuni tofauti na mambo niliyosomea.
Nipo Dar es salaam. Ubungo RiverSide.
Mawasiliano; Normal call: 0616604372
Whatsap: 0620224372.
Jamani mnisaidie, sina pakuenda, sina ndugu yeyote anayefanya kazi serikalini walau wa kunisaidia kutafuta hata nafasi ya internship