Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ok, but truth must told, muda ni mfupi sana sana kuweni busy chimbo huko vijijini kuamsha chama, sisi #CCM Tunawapenda sana chadema ndiyo maana tunakukumbusheni haya, msije sema mmeibiwa kura, kwa wanachama msiowatambua kama wapo ama awapo!, na nyie mliopo kwenye Baraza la wanawake (Bawacha), ccm inawapenda sana.Tulia wewe UWT