Pre GE2025 Peter Msigwa: Mbowe kunitaka nilipe Tsh bilioni 5 ni kuiua siasa na kushuka kisiasa kulikopitiliza

Pre GE2025 Peter Msigwa: Mbowe kunitaka nilipe Tsh bilioni 5 ni kuiua siasa na kushuka kisiasa kulikopitiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tulia wewe UWT
Ok, but truth must told, muda ni mfupi sana sana kuweni busy chimbo huko vijijini kuamsha chama, sisi #CCM Tunawapenda sana chadema ndiyo maana tunakukumbusheni haya, msije sema mmeibiwa kura, kwa wanachama msiowatambua kama wapo ama awapo!, na nyie mliopo kwenye Baraza la wanawake (Bawacha), ccm inawapenda sana.
 
Ok, but truth must told, muda ni mfupi sana sana kuweni busy chimbo huko vijijini kuamsha chama, sisi #CCM Tunawapenda sana chadema ndiyo maana tunakukumbusheni haya, msije sema mmeibiwa kura, kwa wanachama msiowatambua kama wapo ama awapo!, na nyie mliopo kwenye Baraza la wanawake ccm inawapenda sana.
UWT mnajitahidi now
 
Msigwa anahoja,, chadema imjibu
Aitikie wito mahakamani pindi atakapoitwa na huko atapata majibu sahihi ya maswali yake yote aliyoyauliza na asiyoyauliza yaani ziada!
Huyu dogo wa mantigo na posta iringa hajawahi kumiliki akili hata siku moja! Ajiandae kufilisiwa na dj Born town tangu kitambo!
 
Back
Top Bottom