Pre GE2025 Peter Msigwa: Mbowe kunitaka nilipe Tsh bilioni 5 ni kuiua siasa na kushuka kisiasa kulikopitiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa analialia nini si aende akathibitisha huko mahakamani madai yake?
 
Hasara za kuropoka ovyo
Lile rungu la Cyprian Musiba kwa Bernard Membe limemlamba Msigwa,
Kesi ya defamation ina pande mbili tu ulete uthibitisho kuwa Mbowe alifanya, ukishindwa 5B.
Afu wanasheria wa Chadema wanajua sheria utadhani sheria walizianjisha wao,
Mdomo uliponza kichwa 😂😂
 
Ok!, aliyetamka ngorongoro/bandari imeuzwa anastahili kuleta ushahidi kamili, ndiyo maana nasema kesi tamu hii jamani!
 
BWANA FREMAN MBOWE, TAFADHALI NAKUOMBA ACHANA NA HILI JAMBO, POTEZEA UPO UWEZEKANO LIKAFUFUA TAKATAKA ZISIZO NA MSINGI WOWOTE! CHAGUZI UPO MDOMONI
 
Msigwa anahoja,, chadema imjibu
Ataipeleka mahakamani hoja yake + ushahidi na kisha atajibiwa...

By the way, hivi inakuwaje Mch. Peter Msigwa adai publicly kuwa Freeman Mbowe ameanzisha "Freeman Mbowe Foundation" ambayo anaitumia kuibia fedha za chama halafu wakati huohuo haoneshi ushahidi wowote ikiwemo ingalau nakala ya cheti cha usajili wa foundation hiyo ama hata bank statements kuonesha diversions ya pesa za chama kwenda kwenye hiyo foundation....?

Yaani jamaa mchungaji anapayuka maneno matupu tu nawe Kifurukutu na mwenzio Crocodiletooth tena mkiwa na akili zenu timamu kabisa mnamwamini....????

Ooh, please give us a break. Acheni kuwa wapumbavu na wajinga....!!!!
 
Nimecheka sana. Kumbe Msigwa ni zero brain kwenye siasa halafu muoga hivii ..eti Mbowe anaua siasa, ha ha ha siasa ni kuchafua watu?
 
Naungana naye, maana kwa hili mtasikia na abdul kaenda kumshitaki lissu. Kwa hili naungana na msigwa japo simkubali.
Kwani nani kamzuia Abdul kushtaki? Kama kamsingizia kuwa alikwenda kumuhonga itajulikana na kama ni kweli Lissu atatoa ushahidi.
 
Peter kulualia hakutamsaidia kitu! Anachotakiwa ni mwendo wa kuomba radhi tu kama alivyofanya wakati akiwa CHADEMA alipomtukana Kinana! Na ndivyo afanye leo kwa kumuomba radhi Mh. Mbowe kwenye kipindi hiki ambacho Peter yupo CCM.
 
Msigwa anajifanya mjuaji lakini ni mjuaji mjinga. Na kwenye hili, amejitwika furushi la misumari, tena misumari ya bati. Msigwa hawajui CCM, kwenye hili atakuwa pekee yake, asije akadhani itakuwa kesi ya CCM au Serikali dhidi ya Mbowe. Bahati mbaya shutuma zote dhidi ya Mbowe zilikuwa za uwongo, na hataweza kuthibitisha hata moja:

1) Atawezaje kuthibitisha kuwa CHADEMA, chama kilichosajiliwa kama chama cha siasa, ni Saccos ya Mbowe?

2) Atawezaji kuthibitosha kuwa pesa watu wanayolipia kadi za chama na michango mbalimbali kuwa inaingia kwenye account ya Mbowe, wakati pesa hiyo inaingia kwente account ya CHADEMA, trna inayotambulika na hata na msajili wa vyama, na Mbowe siyo signatory wa hiyo account?

3) Msigwa ni mropokaji mjinga. Angekuwa na akili japo kidogo, hata kama ni mropokaji, angechagua mambo ya kuropoka, yale ambayo yana ambiguity ili iwe shida kumdaka kwa kulitia sheria.

Hearsay, ni kwamba huyu mtu, ili akiasi chama chake, alipewa TZS 500m, sasa anatakiwa kulipa 5b, yaani mara 10 ya kile alicholipwa ali akisalito chama chake na kumtukana Mbowe. Hii kwake itakuwa ni biashara kichaa. Je waliomnunua, watamwongezea TZS4.5b ili ajikomboe kwenye hii dhahama?
 
Lipa kwwanza ndipo uanze blabla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…