Hapo ana hoja gami zaidi ya kutaka kuonesha kuwa tuhuma zote dhidi ya Mbowe zilikuwa na uwongo, hivyo Mbowe alitakiwa tu kusema kuwa Msigwa ni mwongo? Yeye anadhani watu wote ni wa kuchezea muda wao kama alivyo yeye? Ngoja afundishwe adabu ili ajue kuwa uwongo hauna tija.Msigwa anahoja,, chadema imjibu
Anaanza kurudisha mpira Kwa kipa kuanza upya kimakosa.... Aendelee tu kishambulia ... Mbona hii ni shambulizi la kujibu Moja tu (Counterattack Moja tu) ameanza kulia... Aendelee tu kujazwa ujinga aone rangi za CCM halisi.Mchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae kulipa faini ya Tsh bilioni 5, amesema haya
“Naichukulia hii kama kushuka kisiasa kulikopitiliza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, kwa sababu kunidai bilioni 5 ninapofanya shughuli za kisiasa kwanza ni kuiua demokrasia yenyewe ya nchi ambayo pamoja na mapungufu yaliyokuwepo kwenye demokrasia ya nchi lakini bado wanasiasa wengi hasa wa upinzani wametumia uhuru wao wa kuipa changamoto serikali iliyopo madarakani kwa kuishutumu shutuma ambazo kimsingi nyingi hazina uthibitisho, kwamba serikali hii ni ya kifisadi, serikali hii ni ya wezi, serikali hii haileti maendeleo na hivi karibuni hata yeye mwenyewe amediriki kumuambia Mheshimiwa Rais kuwa yeye ni Mzanzibari, ameiuza bandari, hizi ndizo changamoto za kisiasa"
"Sasa mimi niliuliza maswali ya msingi kwa CHADEMA na maswali niliyouliza ni kwamba CHADEMA Digital siyo mali ya CHADEMA, nilitegemea mtu ambaye ana weledi, mtu ambaye anaongoza chama anataka kuchukua nchi ni jambo dogo tu la kusema Msigwa ni muongo, CHADEMA Digital ni mali ya CHADEMA, ikajulikana hadharani. Nilihoji kuwa Mbowe amekuwa akitumia msafara wa magari mengi, mwenzake anaenda na gari moja, alitakiwa aseme tu ni muongo Msigwa, mwenzangu anatumia magari matano au saba, ingelikuwa yameisha. Kwa hiyo masuala yote ambayo ameyaeleza ya kwamba mimi nimemvunjia heshima ni masuala ya kisiasa kwa hiyo nimesikitika kwamba anawezaje kuwa chini kwa kiwango hicho"
Pia soma
Muislam Kinana alisamehe, mangi mbowe hawezi kusamehe pesa.
Kapewa options mbili!Hajalalamika… amejibu
mboye tungekulipa bilioni 5
tatizo utaenda kuzinywea konyagi zote
sasa si upuuzi huo
Msigwa anahoja,, chadema imjibu
Muislam Kinana alisamehe, mangi mbowe hawezi kusamehe pesa.
We chutamaBWANA FREMAN MBOWE, TAFADHALI NAKUOMBA ACHANA NA HILI JAMBO, POTEZEA UPO UWEZEKANO LIKAFUFUA TAKATAKA ZISIZO NA MSINGI WOWOTE! CHAGUZI UPO MDOMONI
Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau.Mchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae kulipa faini ya Tsh bilioni 5, amesema haya
“Naichukulia hii kama kushuka kisiasa kulikopitiliza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, kwa sababu kunidai bilioni 5 ninapofanya shughuli za kisiasa kwanza ni kuiua demokrasia yenyewe ya nchi ambayo pamoja na mapungufu yaliyokuwepo kwenye demokrasia ya nchi lakini bado wanasiasa wengi hasa wa upinzani wametumia uhuru wao wa kuipa changamoto serikali iliyopo madarakani kwa kuishutumu shutuma ambazo kimsingi nyingi hazina uthibitisho, kwamba serikali hii ni ya kifisadi, serikali hii ni ya wezi, serikali hii haileti maendeleo na hivi karibuni hata yeye mwenyewe amediriki kumuambia Mheshimiwa Rais kuwa yeye ni Mzanzibari, ameiuza bandari, hizi ndizo changamoto za kisiasa"
"Sasa mimi niliuliza maswali ya msingi kwa CHADEMA na maswali niliyouliza ni kwamba CHADEMA Digital siyo mali ya CHADEMA, nilitegemea mtu ambaye ana weledi, mtu ambaye anaongoza chama anataka kuchukua nchi ni jambo dogo tu la kusema Msigwa ni muongo, CHADEMA Digital ni mali ya CHADEMA, ikajulikana hadharani. Nilihoji kuwa Mbowe amekuwa akitumia msafara wa magari mengi, mwenzake anaenda na gari moja, alitakiwa aseme tu ni muongo Msigwa, mwenzangu anatumia magari matano au saba, ingelikuwa yameisha. Kwa hiyo masuala yote ambayo ameyaeleza ya kwamba mimi nimemvunjia heshima ni masuala ya kisiasa kwa hiyo nimesikitika kwamba anawezaje kuwa chini kwa kiwango hicho"
Pia soma
Sawakabisa mchungaji akathibitishe kweli mahakamaniHapo ana hoja gami zaidi ya kutaka kuonesha kuwa tuhuma zote dhidi ya Mbowe zilikuwa na uwongo, hivyo Mbowe alitakiwa tu kusema kuwa Msigwa ni mwongo? Yeye anadhani watu wote ni wa kuchezea muda wao kama alivyo yeye? Ngoja afundishwe adabu ili ajue kuwa uwongo hauna tija.
Huyu mbwa kwa hiyo anataka kuprove kwamba alikuwa anaongea uongo ili apate milleage ya kisiasa on the price to be paid by Mbowe's damage to his reputation? Akae kwa kutulia jumatatu awahi mahakamani hii sio siasa it was personal attack on Mbowe. Haya ataenda kuyaeleza mahakamani.Mchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae kulipa faini ya Tsh bilioni 5, amesema haya
“Naichukulia hii kama kushuka kisiasa kulikopitiliza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, kwa sababu kunidai bilioni 5 ninapofanya shughuli za kisiasa kwanza ni kuiua demokrasia yenyewe ya nchi ambayo pamoja na mapungufu yaliyokuwepo kwenye demokrasia ya nchi lakini bado wanasiasa wengi hasa wa upinzani wametumia uhuru wao wa kuipa changamoto serikali iliyopo madarakani kwa kuishutumu shutuma ambazo kimsingi nyingi hazina uthibitisho, kwamba serikali hii ni ya kifisadi, serikali hii ni ya wezi, serikali hii haileti maendeleo na hivi karibuni hata yeye mwenyewe amediriki kumuambia Mheshimiwa Rais kuwa yeye ni Mzanzibari, ameiuza bandari, hizi ndizo changamoto za kisiasa"
"Sasa mimi niliuliza maswali ya msingi kwa CHADEMA na maswali niliyouliza ni kwamba CHADEMA Digital siyo mali ya CHADEMA, nilitegemea mtu ambaye ana weledi, mtu ambaye anaongoza chama anataka kuchukua nchi ni jambo dogo tu la kusema Msigwa ni muongo, CHADEMA Digital ni mali ya CHADEMA, ikajulikana hadharani. Nilihoji kuwa Mbowe amekuwa akitumia msafara wa magari mengi, mwenzake anaenda na gari moja, alitakiwa aseme tu ni muongo Msigwa, mwenzangu anatumia magari matano au saba, ingelikuwa yameisha. Kwa hiyo masuala yote ambayo ameyaeleza ya kwamba mimi nimemvunjia heshima ni masuala ya kisiasa kwa hiyo nimesikitika kwamba anawezaje kuwa chini kwa kiwango hicho"
Pia soma
Kapewa options mbili!
Aombe radhi, au akajibu mahakama...!
Lipa hela mzee hakuna utetezi hapo.Mchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae kulipa faini ya Tsh bilioni 5, amesema haya
“Naichukulia hii kama kushuka kisiasa kulikopitiliza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, kwa sababu kunidai bilioni 5 ninapofanya shughuli za kisiasa kwanza ni kuiua demokrasia yenyewe ya nchi ambayo pamoja na mapungufu yaliyokuwepo kwenye demokrasia ya nchi lakini bado wanasiasa wengi hasa wa upinzani wametumia uhuru wao wa kuipa changamoto serikali iliyopo madarakani kwa kuishutumu shutuma ambazo kimsingi nyingi hazina uthibitisho, kwamba serikali hii ni ya kifisadi, serikali hii ni ya wezi, serikali hii haileti maendeleo na hivi karibuni hata yeye mwenyewe amediriki kumuambia Mheshimiwa Rais kuwa yeye ni Mzanzibari, ameiuza bandari, hizi ndizo changamoto za kisiasa"
"Sasa mimi niliuliza maswali ya msingi kwa CHADEMA na maswali niliyouliza ni kwamba CHADEMA Digital siyo mali ya CHADEMA, nilitegemea mtu ambaye ana weledi, mtu ambaye anaongoza chama anataka kuchukua nchi ni jambo dogo tu la kusema Msigwa ni muongo, CHADEMA Digital ni mali ya CHADEMA, ikajulikana hadharani. Nilihoji kuwa Mbowe amekuwa akitumia msafara wa magari mengi, mwenzake anaenda na gari moja, alitakiwa aseme tu ni muongo Msigwa, mwenzangu anatumia magari matano au saba, ingelikuwa yameisha. Kwa hiyo masuala yote ambayo ameyaeleza ya kwamba mimi nimemvunjia heshima ni masuala ya kisiasa kwa hiyo nimesikitika kwamba anawezaje kuwa chini kwa kiwango hicho"
Pia soma
SACCOSLipa hela mzee hakuna utetezi hapo.
Kwamba ni demokrasia umdhalikishe mtu lasi na ukweli?
🤣🤣🤣🤣Nimecheka sana. Kumbe Msigwa ni zero brain kwenye siasa halafu muoga hivii ..eti Mbowe anaua siasa, ha ha ha siasa ni kuchafua watu?
Ungemlipa ww na nani?mboye tungekulipa bilioni 5
tatizo utaenda kuzinywea konyagi zote
sasa si upuuzi huo
Msigwa kama ungeisema Chadema hiyo ni taasisi sidhani kama ingechukua hatua zaidi ya wanaohusika kukujibu kupitia jukwaa,lakini wewe unaswali na mbowe ( mtu) siyo taasisi ndiyo maana amekujibu kwa kutaka kukushitaki. Wapinzani wanaposema serikali ni taasisi siyo mtu au ccm siyo mtu hapo atatokea mwenye wajibu wa kuitetea serikali ataisemea, ataokea wa kuitetea ccm ataisemea . Omba tu radhi yaieshe na katika kusema kwako jikite kwenye taasisi siyo mtu. Eti mchungaji! Ukilisema kanisa katoliki litajibu kupitia jukwaa lakini ukimsema askofu kwa jina ,akikosa uvumilivu atakushitaki tu na utalipa kwa kuumchafuaMchungaji Msigwa leo Ijumaa Septemba 06, 2024 kupitia Jukwaa la Sauti ya Watanzania katika mtandao wa Clubhouse akijibu barua ya Mawakili wa Freeman Mbowe ambayo imemtaka kuomba radhi au ajiandae kulipa faini ya Tsh bilioni 5, amesema haya