Pre GE2025 Peter Msigwa: Mbowe kunitaka nilipe Tsh bilioni 5 ni kuiua siasa na kushuka kisiasa kulikopitiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa amechagua kufanya siasa za majitaka akubali matokeo.
 

Attachments

  • IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    18.8 KB · Views: 1
Mchungaji Msigwa unatafuta huruma toka CCM au kwetu Raia, mbona kama umepanic. Kama majibu ulikuwa nayo kwanini unaongelea CDM wakati ulishahama? Eneza sera za CCM tu siyo mipasho.
Apigwe vizuri akili zikae sawa
 
kwa nini kumzushia mtu uongo na ulikuwa nae kwenye chumba kimoja unataka hao waliokuwanje waamini mavi unayompaka sasa dhibitisha...ili usimlipe
 
Kauli hii ya Msigwa inaonesha kuwa anajutia maana anajua kuwa akipelekwa mahakamani inamlamba. Amejitumbukiza mwenyewe kwenye mtumbwi ambao alidhani watambeba. Ana mashaka na usalama wake
 
Si alikua anaropoka ni muda wake kulipa, mbowe akiskia hela tu hamu ya konyagi inakuja hapohapo hawezi kuacha
 
Mwana kulitaka mwana kulipata, mwambieni huyo tumbili atulize kishundu dawa iingie vizuri
 
Uhuru wa kuongea haimaanishi kumvunjia mtu heshima. Huyu mchungaji Msigwa vipi?
 
Kwanza siwezi kumuita mchungaji ni na wale mnaomuita jina mchungaji naomba mfute kauli zenu huyu ni msigwa..ata kama mbowe ana mapungufu kwangu Mimi mbowe mmoja ni zaidi ya viongozi wa CCM 5000...msigwa utapiga pesa za damu kwa muda lakini kuna siku utawajibika karma haiwezi kuacha salama kuwa muungwana...
 
Kwani Mbowe akifungwa nyie UWT mtapata hasara gani?
Aache kimbele mbele chake, cha kuanzisha makesi yatakayo mpotezea muda, usumbufu, tele, ukizingatia CHAGUZI zimekaribia, nilidhani angekuwa busy kutembea matawini, kufungua mapya, kijiji kwa kijiji mtaa kwa mtaa, hili ni la HEKIMA KWAO KWA WAKATI HUU MBOWE APUUZE TU SUALA HILI IT'S WASTE OF TIME FOR APERIOD REMAINS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…