Ok, but truth must told, muda ni mfupi sana sana kuweni busy chimbo huko vijijini kuamsha chama, sisi #CCM Tunawapenda sana chadema ndiyo maana tunakukumbusheni haya, msije sema mmeibiwa kura, kwa wanachama msiowatambua kama wapo ama awapo!, na nyie mliopo kwenye Baraza la wanawake ccm inawapenda sana.