figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.
Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.
"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.
Pia soma: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.
"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa
Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.