Hivi John Momose Cheyo bado ni mwenyekiti na haonekani kama amekaa sana?James mbowe ni mtoto wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi John Momose Cheyo bado ni mwenyekiti na haonekani kama amekaa sana?James mbowe ni mtoto wake?
Anakusanya kodi za nchi?Dictator Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti na akitoka anamuachia mtoto wake James Mbowe
Msigwa anachotufundisha ni kitu kimoja tutafute pesa nje ya siasa ukiwa na njaa siasa ni utumwa ona anavodhalilika heshima yake yote imepotea kwa vipande vya thumni kifupi Msigwa bila ukngozi hawezi kuishi anatia huruma naa amekwishapotea labda akaajiriwe Asas hukoAliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.
Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.
"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.
Pia soma: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.
"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa
Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.
sijakuelewaHivi John Momose Cheyo bado ni mwenyekiti na haonekani kama amekaa sana?
Ndivyo walivyo hawa wachungaji feki. Wanachotafuta ni ulaji tu yaani ni tumbo mbele.Hivi kama angachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa ukanda wa Nyasa angehama Chama?
Naona mara tu baada ya kuangushwa na Sugu fasta kahamia CCM.
Nchi hii asilimia kubwa ya Wapinzani sio Wapinzani bali wanatafuta fulsa na ajira.
CCM endelea kutawala Hadi akili zitakapo warudia.
RIP. Marehemu Mtikila.
Malaya wa kisiasaBahati mbaya yake (Msigwa) ni kwamba hapati wateja pamoja na kutumia nguvu kubwa kujiuza
Msigwa ni mwanasiasa Malaya_Malaya yaani "ana bei".Msigwa anajiuza kam malaya
Mteja wake ni "chura kiziwi" yule anayegawa vyeo. Hapo si muda atapewa ukuu wa wilaya au mkoa.Bahati mbaya yake (Msigwa) ni kwamba hapati wateja pamoja na kutumia nguvu kubwa kujiuza
sikujua kama huyu jamaa ana upumbavu mkubwa kiasi hiki. Sikujua!Msigwa anajiuza kam malaya
Msigwa achunguzwe afya ya akili,maana hana critical thinking kabisa.Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.
Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.
"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.
Pia soma: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.
"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa
Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.
hivi ule uenyekiti una mshahara? kuna pesa gani muleMbona hayo hukuyasema zamani, Hii ni sababu umeshindwa uchaguzi na kunyimwa ugali.
yupo. ila ni age go! chama nacho kiko ICUHivi John Momose Cheyo bado ni mwenyekiti na haonekani kama amekaa sana?