Atajiuza sana na bado.Msigwa anajiuza kam malaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajiuza sana na bado.Msigwa anajiuza kam malaya
Hv mshipa wake wa aibu umekatika et?Ni kama demu limepigwa chini linabakia kulalamika mitaani - ha ha ha ooh!! mwanaume mchafu, hana hela afu nanihii halichaji...
Kweli nimeamini hela za CCM ni mbaya sana aisee!! mtu unafanywa zuzu kwa muda.
Siyo wewe pekee yako.Mimi Ni CCM lakini Nimemdharau Msigwa.
Mkuu una stress za maisha 😂Huna power ya kuruhusu wala kutokuruhusu hata usiporuhusu bado hatoki madarakani nyumbu wewe
Hata huyu Mbowe cku akipokonywa uenyekiti mtashangaa atakavyoisagia CHADEMA.Binafsi najiuliza ,haya ndo yamemfanya kukimbia huko aliko ? Kama ndivyo na kweli anayaishi yale anayomsema mwenyekiti Mbowe kwa nini alichukua form ya kugombea uenyekiti wa kanda ? Na je kabla ya kuchukua form haya ayasemayo yalikuepo ? kama ndio kwa nini alitaka kupaki ndani ya chama husika pitia uwenyekiti wa kanda
Watu wa aina hii ,hata huko alipoamia lazima kuwa makini nao
NdioHivi John Momose Cheyo bado ni mwenyekiti na haonekani kama amekaa sana?
Ila wanasiasa...😃Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.
Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.
"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.
Pia soma: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.
"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa
Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.
Mimi huwa nasema hakuna Upinzani wala Demokrasia ya kweli TanzaniaHivi kama angachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa ukanda wa Nyasa angehama Chama?
Naona mara tu baada ya kuangushwa na Sugu fasta kahamia CCM.
Nchi hii asilimia kubwa ya Wapinzani sio Wapinzani bali wanatafuta fulsa na ajira.
CCM endelea kutawala Hadi akili zitakapo warudia.
RIP. Marehemu Mtikila.