Pre GE2025 Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.

Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.

"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.

Pia soma: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.

"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa

Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.

Siku zote alikuwa wapi kusema uyo mburumundu!

Hapo ndipo ninapoonaga unafiki wa wana siasa
 
Peter Msigwa ni ishara kwamba self-proclaimed wachungaji wengi ni wasaka maokoto!
Hivi Mbowe au CDM ndo tatizo nchi hii?
 
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.

Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.

"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.

Pia soma: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.

"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa

Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.

Nimecheka vibaya, yaani Msigwa amechoka mapema sana. Hapo ccm wanaamini watapata mvuto kwa hayo mashairi wanayomuimbisha Msigwa.
 
Msigwa: Kulingana na Katiba ya chama chetu( CHADEMA).......hapo Yuko jukwaa la CCM 🤔
 
Red Brigade na sasa hawa zoo sijui joo. Wote hawa inawezekana kabisa wanashirikiana na mamluki wa nje kama sio wenyewe ndio wenye kutaka uasi nchini.

Hakika wachunguzwe.
 
Sasa yy mwenyw amni
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.

Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.

"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.

Pia soma: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.

"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa

Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.

sasa yy mwenyw amn democrasia alipo shndaw angekubali kuwa nmeshndwa pengne uyu aliynshnda anayo meng zaid yang hyo ndy democrasia lakn yy ajakubali kwaiyo wawezatuseme siasa ya Bongo nidili kla mtu anaitaji
 
MSIGWA ni wa kupuuzwa tu. ANGEKUWA MJASIRI ANGEYASEMA HAYO AKIWA CHADEMANI..!
 
Huyu niwakumpuuza tu hana mashiko wala ushawishi wowote ndio kwanza anajizalilisha kwa wenye akili yaani ,chama na watu ambacho wamekufanya amejua kuvaa suti kuoga na kujulikana Leo hii unawakandia ,anajiona genius kwamba mafanikio aliyo nayo ni sababu ya nguvu zake ,awe na akiba ya maneno.
 
Ni njaa tu.
Analopoka ovyo ili apate teuzi.
Njaa ndiyo inayo dhoofisha upinzani Tanzania.
Angechaguliwa uwenyekiti wa Nyasa asinge hamia CCM kwakuwa angejihakikishia kupata ruzuku ya cheo.
 
Miaka yote uliyokuwa kiongozi wa Kamati Kuu na Mbunge hukuyaona haya?..ulichukua hatua gani?..na kwanini sasa ndugu "Mchungaji"?
 
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.

Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.

"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.

Pia soma: Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.

"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa

Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.

Msigwa tafuta cheo CCM polepole, Mbowe humuwezi kimapambano, usijidanganye eti unaweza kumng'oa Mbiwe uongozini tokea CCM; hukuweza kumng'oa ukiwa ndani ya CHADEMA utaweza kumuondoa ukiwa nje? Ajabu ya nazi katakana kuvunja jiwe. Hasira zako ni kwa sababu ulishindwa uchaguzi na inaonyesha imekuuma sana kulazimika kutoka Chadema.

Huyo msajiri hawezi kufanya kitu.

CHADEMA kama kuuliwa ingeuliwa miaka ile ya 2015 mipango ilisukwa na wasira akaja kutamba hadharani kuwa CHADEMA itakufa kabla ya mwaka 2015 lakini ipo mpaka leo.
 
Msigwa anasikitisha sana. Amejishusha thamani na kujivunjia heshima kwa kiasi kikubwa mno. Hayo ayasemayo, kwanini asiyaseme akiwa ndani ya Chadema?. Je angeshinda nafasi ya unyekiti wa kanda ya kusini, ina maana angeendelea kuwa ndani ya Chadema huku kukiwa na udhaifu huo ausemayo?. Msigwa ameonesha kwamba ni zero brain, mwenye tamaa na mpenda kujaza tumbo lake. Msigwa ingekuwa ni hekima sana kama ungeiga mfano wa Marehemu Edward Lowasa.
 
Tulishawahi sikia kuwa chadema Wana makundi ya kigaidi asante kwa taarifa. Naona ushahidi umewekwa
 
Red Brigade na sasa hawa zoo sijui joo. Wote hawa inawezekana kabisa wanashirikiana na mamluki wa nje kama sio wenyewe ndio wenye kutaka uasi nchini.

Hakika wachunguzwe.
kwani mnaifunza TISS kazi km ni tishio wangekuwa wameshughulikiwa.
 
Hivi kama angachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa ukanda wa Nyasa angehama Chama?
Naona mara tu baada ya kuangushwa na Sugu fasta kahamia CCM.
Nchi hii asilimia kubwa ya Wapinzani sio Wapinzani bali wanatafuta fulsa na ajira.
CCM endelea kutawala Hadi akili zitakapo warudia.

RIP. Marehemu Mtikila.
Tunataka CCM au chama kingine watawale kwa haki siyo kwa kuiba uchaguzi kama alivyofanya mwendazake na Nape kuthibitisha
 
Back
Top Bottom