Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.
Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.
"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.
Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.
"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa
Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.
Hivi kama angachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa ukanda wa Nyasa angehama Chama?
Naona mara tu baada ya kuangushwa na Sugu fasta kahamia CCM.
Nchi hii asilimia kubwa ya Wapinzani sio Wapinzani bali wanatafuta fulsa na ajira.
CCM endelea kutawala Hadi akili zitakapo warudia.
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.
Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.
"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.
Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.
"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa
Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.
Aliyekuwa Kiongozi na Mbunge wa Chadema baadaye akahamia CCM Peter Msigwa, amemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuchunguza vyama vya Siasa hasa CHADEMA sababu wanafanya vitu nje ya katiba ya chama. CHADEMA wanataka kuvuruga amani.
Nkurunziza(Mbowe) baada ya kuona hakubaliki ndani ya Chama, ameanza ZOO na JOO ili kuhakikisha anabaki Madarakani.
"Mbowe anasema hata akifanya mambo ya hovyo asiangaliwe yeye iangaliwe Katiba ya chama" amesema Msigwa.
Anasema Misingi Mikubwa ya chama alichotoka CHADEMA ilikuwa ni Demokrasia, Haki na Uhuru lakini hivyo vitu ndani ya chama havipo. Vinanenwa kwenye Mdomo.
"Ningemuomba Mhe. Mutungi (Msajili wa Vyama Vya Siasa) afuatilie jinsi hivi vyombo vya upinzani vinavyotaka kuleta vurugu katika nchi, vinavyoendesha mambo yao ndani ya vyama vyao, Katiba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo haifuatwi kabisa, nasema kwa ujasiri mkubwa..." - Ndg. Peter Msigwa
Mchungaji Peter Msigwa amesema hayo akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe Viwanja vya Panga Kinondoni. Tarehe 16 Julai 2024. Ziara ya Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla.
Binafsi najiuliza ,haya ndo yamemfanya kukimbia huko aliko ? Kama ndivyo na kweli anayaishi yale anayomsema mwenyekiti Mbowe kwa nini alichukua form ya kugombea uenyekiti wa kanda ? Na je kabla ya kuchukua form haya ayasemayo yalikuepo ? kama ndio kwa nini alitaka kupaki ndani ya chama husika pitia uwenyekiti wa kanda
Watu wa aina hii ,hata huko alipoamia lazima kuwa makini nao