Pre GE2025 Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa anachotufundisha ni kitu kimoja tutafute pesa nje ya siasa ukiwa na njaa siasa ni utumwa ona anavodhalilika heshima yake yote imepotea kwa vipande vya thumni kifupi Msigwa bila ukngozi hawezi kuishi anatia huruma naa amekwishapotea labda akaajiriwe Asas huko
 
Ndivyo walivyo hawa wachungaji feki. Wanachotafuta ni ulaji tu yaani ni tumbo mbele.
 
Bahati mbaya yake (Msigwa) ni kwamba hapati wateja pamoja na kutumia nguvu kubwa kujiuza
Mteja wake ni "chura kiziwi" yule anayegawa vyeo. Hapo si muda atapewa ukuu wa wilaya au mkoa.
 

Kinachosikitisha ni kwamba, hata wanaCCM wenyewe wanamuona Msigwa kama mtu aliyechanganyikiwa na kupoteza dira, sio wana-CHADEMA pekee.
 
Sasa si atoe taarifa Polisi kama ni mambo ya Usalama? Kawa vuvuzela ...Tangu lini CHADEMA ikawa ni Mbowe...kisiwe chama cha siasa? MUDA WOTE MSIGWA ANATAJA MBOWE ,
KILA AKITAKA KUKIONGELEA CHAMA
 
Hii takataka ina njaa kali sana
Hatuwezi cheo huku kwetu
 
Msigwa achunguzwe afya ya akili,maana hana critical thinking kabisa.
 
Kwa aina hii ya wachungaji "namaanisha wenye tabia kama za Mchungaji Msigwa"...ni ishara tosha kuwa njaa bado ni adui mkubwa Tanzania.
 
Ni kama demu limepigwa chini linabakia kulalamika mitaani - ha ha ha ooh!! mwanaume mchafu, hana hela afu nanihii halichaji...

Kweli nimeamini hela za CCM ni mbaya sana aisee!! mtu unafanywa zuzu kwa muda.
 
Mbowe ataiongoza chadema hata akiwa mahututi kitandani.

Yaani hata akikata moto chadema bado watakua wanakwenda makaburini kumsikiliza anasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…