Pre GE2025 Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni kama demu limepigwa chini linabakia kulalamika mitaani - ha ha ha ooh!! mwanaume mchafu, hana hela afu nanihii halichaji...

Kweli nimeamini hela za CCM ni mbaya sana aisee!! mtu unafanywa zuzu kwa muda.
Hv mshipa wake wa aibu umekatika et?
 
Hata huyu Mbowe cku akipokonywa uenyekiti mtashangaa atakavyoisagia CHADEMA.
 
Msigwa ni mtu mdogo sn hii nchi kinacho muuma ni kutoka CHADEMA kwenda CCM halafu ikawa story ya masaa tu
 
Msigwa wa ukweli alikuwa CHADEMA huyu wa sasa ni mganga njaa aliyekimbilia CCM kutafuta teuzi. kama CHADEMA kuna matatizo vyama vya upinzani ni vingi, kama siyo njaa imemubana kwa nini asihamie kwenye vyama vingine vya upinzani isipokuwa kahamia CCM kwenye ulaji?.
 
Uyunae niziro brain kabisa, kilasiku chadema chadema, that means hana kitukingine chamaana chakuongea, siasa za kipumbavu sana hizi, nikama tundu tu anavyo pambana kumtaja Magu kwenye kila mkutanowake.

Poor thinking capacity.
 
Ila wanasiasa...😃

Kama yeye siyo mwanachama wa CHADEMA mambo ya CHADEMA yanamwuma nini?
 
Mimi huwa nasema hakuna Upinzani wala Demokrasia ya kweli Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…