PreGE2025 Peter Msigwa: Nawashauri G55 waje CCM, hawana ushawishi kuendeleza siasa za mageuzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”

“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”

“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chanzo Nipashe
 
Msigwa kapiga kwenye mshono.
 
Kama hawana ushawishi kwa umma unataka waje CCM kufanya nini? Ina maana CCM ni kama kokoro tu linakokora kila aina ya takataka? 😳

WhatsApp Image 2025-05-15 at 09.24.41_2ca74643.jpg
 
“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”

“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”

“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa

Chanzo Nipashe
Katika hili walau leo mchungaji Msigwa kaongea ukweli na point ya msingi.
Waende CCM ili wakajaribu bahati kwa kufadhiliwa huenda baadhi yao wakaokoteza hata ukatibu kata. Maana CCM inaweza kuokota hata mbwa barabarani na akapewa nafasi ya kuongoza.
 
“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”

“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”

“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chanzo Nipashe
Hawana sifa ya kuwa wapinzani, hakika hawa CHAWA wa MBOWE ni makada wa CCM
 
Chanzo N
Msingwa mwili uko ccm moyo uko chadema
 
Uzuri wa Msigwa huwa anayoosha, hamna namna atapindisha anachokiamini hata siku moja, nyeupe kwake ni nyeupe and vice versa, kama wana akili wachukue huu ushauri, badala ya kupindapinda waanzie chauma ndio waende majani waondoke tu straight kwenda walipopatia mboga maisha yaendelee tu! Huko kwingine kwa kuwa ni mediocre watafeli then wakose sababu ya kuondokea kwenda kijani! Kama walishindwa kuexcell chadema walipokua na platform kubwa ya kusikika wataweza chamumaa?!

Akili vichwani kwao
 
“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”

“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”

“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chanzo Nipashe
Makalla peleka pendekezo Peter Msigwa afukuzwe CCM! Ina maana CCM ndiyo huwa inapokea uchafu?
 
Kwahiyo ccm ndio hupokea waharibifu
Kila aina ya uchafu upo CCM, ukitaka kukwepa kodi jiunge CCM, ukitaka ushoga utaukuta CCM, ukitaka kuteka au usitekwe nenda CCM, ukitaka wahujumu uchumi ufisadi wa kufa mtu utaukuta CCM, ukitaka kuuza madawa ya kulevya jiunge na CCM nk nk nk, kwa hiyo Msigwa yupo sahihi kabisa.
 
Aiseeee
Wewe Sasa huogopi kufichua haya yote ikiwa ni kweli?
 
“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”

“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”

“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chanzo Nipashe
Bora tu amewambia ukweli😀
 
Kila aina ya uchafu upo CCM, ukitaka kukwepa kodi jiunge CCM, ukitaka ushoga utaukuta CCM, ukitaka kuteka au usitekwe nenda CCM, ukitaka wahujumu uchumi ufisadi wa kufa mtu utaukuta CCM, ukitaka kuuza madawa ya kulevya jiunge na CCM nk nk nk, kwa hiyo Msigwa yupo sahihi kabisa.
Je ukiwa raia wa kigeni? Ufanyeje
 
Back
Top Bottom