The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
CCM haina tofauti na jalala! Inapokea aina zote za takataka.Kwahiyo ccm ndio hupokea waharibifu
Msigwa kapiga kwenye mshono.“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”
“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”
“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa
Chanzo Nipashe
Katika hili walau leo mchungaji Msigwa kaongea ukweli na point ya msingi.“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”
“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”
“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa
Chanzo Nipashe
Hawana sifa ya kuwa wapinzani, hakika hawa CHAWA wa MBOWE ni makada wa CCM“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”
“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”
“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chanzo Nipashe
Some people appear to have lost left brain in this country.Kama hawana ushawishi kwa umma unataka waje CCM kufanya nini? Ina maana CCM ni kama kokoro tu linalokokota kila aina ya takataka? 😳
View attachment 3338033
Msingwa mwili uko ccm moyo uko chadema“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”
“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”
“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chanzo N
Hapana, CCM ni Chama kubwa fujo zao zitazibitiwaKwahiyo ccm ndio hupokea waharibifu
Makalla peleka pendekezo Peter Msigwa afukuzwe CCM! Ina maana CCM ndiyo huwa inapokea uchafu?“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”
“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”
“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chanzo Nipashe
Kila aina ya uchafu upo CCM, ukitaka kukwepa kodi jiunge CCM, ukitaka ushoga utaukuta CCM, ukitaka kuteka au usitekwe nenda CCM, ukitaka wahujumu uchumi ufisadi wa kufa mtu utaukuta CCM, ukitaka kuuza madawa ya kulevya jiunge na CCM nk nk nk, kwa hiyo Msigwa yupo sahihi kabisa.Kwahiyo ccm ndio hupokea waharibifu
AiseeeeKila aina ya uchafu upo CCM, ukitaka kukwepa kodi jiunge CCM, ukitaka ushoga utaukuta CCM, ukitaka kuteka au usitekwe nenda CCM, ukitaka wahujumu uchumi ufisadi wa kufa mtu utaukuta CCM, ukitaka kuuza madawa ya kulevya jiunge na CCM nk nk nk, kwa hiyo Msigwa yupo sahihi kabisa.
Bora tu amewambia ukweli😀“Hawa wanaohama sasa hivi CHADEMA ndio waliokuwa wanakiharibu chama na mimi ningewashauri tu kwamba wajiunge na CCM kusema kwamba wanaenda chama kingine cha upinzani kufanya siasa za mageuzi ni uongo”
“Wote hao niliwatuhumu hata kabla sijahama CHADEMA kwamba wanaharibu uchaguzi ndani ya chama wanaleta fujo walikuwa wanaamini kwamba Mbowe atashinda sasa Mbowe hakushinda wanaondoka kwa sababu zao zingine”
“Wale wakienda vyama vingine vya upinzani hawataaminiwa na wananchi na nikiwa mkweli kabisa sioni kama wanaacha maumivu ndani ya CHADEMA kwa sababu ni watu ambao hawana ushawishi kwa umma”-Peter Msigwa
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chanzo Nipashe
Je ukiwa raia wa kigeni? UfanyejeKila aina ya uchafu upo CCM, ukitaka kukwepa kodi jiunge CCM, ukitaka ushoga utaukuta CCM, ukitaka kuteka au usitekwe nenda CCM, ukitaka wahujumu uchumi ufisadi wa kufa mtu utaukuta CCM, ukitaka kuuza madawa ya kulevya jiunge na CCM nk nk nk, kwa hiyo Msigwa yupo sahihi kabisa.